Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
Fundi Saa!Wajanja walishashituka mapema sana pale malienge aliposema wajumbe shikamo.😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fundi Saa!Wajanja walishashituka mapema sana pale malienge aliposema wajumbe shikamo.😁😁
Wanancnhi wa wapi,TL mwenyekiti mpya!kitu hamjui ni kuwa Lisu hatakiwi tanzania.
hatakiwi kwa sababu ni mtukanaji wa viongozi na serikali.
CCM ndo inaongoza serikali hawawezi kusababisha awe kiongozi tena msemaji mkuu si atamtukana hadi Mungu.
alimtukana Nyerere atamuogopa Samia?
hivyo kiuhalisia lisu hawezi kushinda na sisi wananchi hatutaki mtu mtukanaji