Pre GE2025 Wajumbe: Tumepewa hela ili tumchague Mbowe, sisi tunamtaka Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Katibu wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wilaya ya Kahama Samwel Peter akieleza namna gani wajumbe wa mkutano Mkuu wa Chama hicho wamekuwa wakishawishiwa kwa fedha kuelekea uchaguzi wa chama hicho unaoendelea kufanyika muda huu katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu ji team Lissu katumwa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Tupate salamu kutoka kwa mwenyekiti king'ang'anizi

Your browser is not able to display this video.
 
Sio dhambi kuleni hizo rushwa ila kura mtoe kwa Lissu, kinyume na hapo mtakuwa na dhambi kubwa
Anasema amepewa nauli ya kuhudhuria kikao ambayo anadai kuwa ni rushwa. Kwa vile anasema kuwa msimamo wake na wa wenzake ni kuwa lazima Lissu ashinde ulikuwa wazi, kwa nini Mbowe ampe nauli ili aje kumpigia kura Lissu?

Kweli " stupid is as stupid does".

Amandla...
 
Wamepewa kiasi gani? Je ni laki, laki mbili, laki tatu , laki tano au laki tisa na salasini, au mamilioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…