Wajumbe wa bunge la katiba Zanzibar yawaka

Wajumbe wa bunge la katiba Zanzibar yawaka

Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.

We akili yako iko kama ile nguo inayovaliwa ndani ya kanzu ya ostadhi wako.
 
Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.

A cha we hu waislam 2ko wengi sana hadi mligoma kupengeele cha dini kuingia 2013
 
hiv hawa wenzentu wa pwani wanamatatizo gani au wanalishwa unga wa ndere?kwann hawataki kujifunza kutoka s,kusini!wanafikiri sis bila wao hakuna nchi au kwalepi haswa walilonalo hadi kila kukicha wao kulalama tu,wangefanya tasmin ndogo tu kujua kuna wabara wangapi wanaoishi kule,na pia kuna wazenji wangapi wanahishi bara hapo ndio wangejua nani anaumuhimu kwa mwenzie,
 
Baada ya uteuzi wa wajumbe 201 wa bunge la katiba, baadhi ya wazanzibar wameanza kuwaka kwa hasira wakisema nchi mbili zimeungana, inakuwa je bara watoke 14 na zanzibar watoke 6? Hata wengi walioteuliwa wengi wahamiaji hakuna mzanzibar halisi.

Sijui kitatokea nini, radio fm za zanzibar ni watu wanapiga simu na kuongea .

Jamani lengo la katiba kwa Amani litafika?

Nawakilisha

Hata wangechaguliwa vipi, wangetokea wasioridhika..............cha msingi wengi wape, wachache wasikilizwe........wengine kulalamika ni jadi yao tu!
 
Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.
Ka-ukweli hako usikapendelee sana, kwani hata hapa kwenye forum waheshimiwa hawakapendi. Tume yenyewe ilishatupa maoni yao mapema sasa wanakweda kujadili nini? Yaani <= 35!!!!, nao hao huenda wameteuliwa kwa fadhila tu.
 
Bora irudi Tanganyika ...na sisi tumechoka our partners are too whining..

Mkuu umenena nawish zipitishwe serikal 3...Tanganyika.tuunde na katiba yetu kama serikali hakun mzenji kumilik ardhi kama wafanyiavyo wabara kule kwao.....
 
Mkuu umenena nawish zipitishwe serikal 3...Tanganyika.tuunde na katiba yetu kama serikali hakun mzenji kumilik ardhi kama wafanyiavyo wabara kule kwao.....

Usiseme hakuna m'bara asiemiliki ardhi kule Zanzibar labda mambo huyajui ,chini ya serikali za ccm hakuna kisichowezekana watu wanamiliki mpaka mahekalu. Ndio maana ukaona CCM hawataki kuachia bado wamebana na mbili.
 
Utaanza lini mchakato wa katiba ya tanganyika?
 
Sote tuna wajibu mkubwa wa kuwatia moyo wajumbe wote waliochaguliwa.

Hivyo ni vema tukawa wavumilivu ili hatimaye kile kilichokusudiwa kiweze
kupatikana.

Si busara hata kidogo kuanza kuibua mijadala isiyo ya kitafiti
eti upande fulani unasema hivi na huu unasema vile,hii si sawa kwani kwa
kufanya hivyo tunaudidimiza uzalendo miongoni mwa wajumbe
pamoja na watu wetu.

Umoja ndio silaha iliyo nzuri,hivyo ni vema tukawa tunatumia angalau maneno
yenye kuleta umoja na nguvu ya pamoja kuliko maneno yenye
taswira ya moto ili eti wapatikane wachocheaji tayari kwa vurugu.
 
Wazanzibari, kama walivyo Watanganyika au Watanzania Bara, wana haki ya kutoa maoni. Hii ni haki yao ya kikatiba. Hayo ndiyo maoni yao.
 
Back
Top Bottom