Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,183
Hawa wazanzibar watatusumbua sana kama tutaendelea kuwachekea..
mnajisumbua wenyewe kwa kuwa mnawabembeleza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wazanzibar watatusumbua sana kama tutaendelea kuwachekea..
Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.
Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.
Hakuna unachojua mkuu watu kama wewe mmepoteza mwelekeo mnatakiwa kupuuzwa tu.
Hoja mufilisi
Baada ya uteuzi wa wajumbe 201 wa bunge la katiba, baadhi ya wazanzibar wameanza kuwaka kwa hasira wakisema nchi mbili zimeungana, inakuwa je bara watoke 14 na zanzibar watoke 6? Hata wengi walioteuliwa wengi wahamiaji hakuna mzanzibar halisi.
Sijui kitatokea nini, radio fm za zanzibar ni watu wanapiga simu na kuongea .
Jamani lengo la katiba kwa Amani litafika?
Nawakilisha
Ka-ukweli hako usikapendelee sana, kwani hata hapa kwenye forum waheshimiwa hawakapendi. Tume yenyewe ilishatupa maoni yao mapema sasa wanakweda kujadili nini? Yaani <= 35!!!!, nao hao huenda wameteuliwa kwa fadhila tu.Kama ingekuwa mnajali idadi ya watu basi isingekuwa nafasi za wajumbe kutoka Tanganyika zimehodhiwa na Wakristo.
Bora irudi Tanganyika ...na sisi tumechoka our partners are too whining..
Mkuu umenena nawish zipitishwe serikal 3...Tanganyika.tuunde na katiba yetu kama serikali hakun mzenji kumilik ardhi kama wafanyiavyo wabara kule kwao.....