GE2025 Wajumbe wa CCM wamuhenyesha Mnyeti kura za maoni, aangushwa vibaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Wajumbe hawana utani, wamemtwanga vibaya ndugu Mnyeti.



Anaitwa β€˜π˜½π™ͺπ™œπ™€π™©π™– 𝙬𝙖 π™ˆπ™žπ™¨π™ͺπ™£π™œπ™¬π™žβ€™ (dawa ya Misungwi) jina maarufu alilopewa na wananchi wa Jimbo la Misungwi, wakimaanisha β€˜dawa ya Misungwi’ kwa madai kwamba baada ya kuteswa na gonjwa sugu tafiti zimefanyika hatimaye tiba imepatikana, (mmoja wa wadau wa Misungwi kafunguka).

Anaitwa Salvatory Luboja Slvester kwenye KURA ZA MAONI CCM, Matokeo ya jumla kapata kura 9680 akimwangusha mshindani wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi anaye maliza muda wake Mhe. Alexander Mnyeti kura 3249.
 
Hapa Kitwanga atakuwa na mkono wake maana zilikuwa haziivi.
 
Duh wajumbe nuksi πŸ˜„

Ova
 
Hiyo ilikuwa 2015 ndugai ndo alimnyoosha kwa kipigo Kama hicho

Sema amshukuru Mungu wanaogoza jamii zilizojaa vilaza
 
Mawe matatu kapotelea wapi? Hakuomba? Wanakijiji wanamkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…