milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Watanganyika wamechanganyikiwa!
Hawajui mbaya wao Wala mzuri wao😂
Mkitaka kufanikiwa, komaeni na Katiba mpya, Muungano.
Ili kufanikiwa, ni kujiunga na CCM na kuondoa wajinga waliopo, na kuweka watu wenye uelewa, mwisho wa siku, Kila kitu kinaenda sawa