Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Haijafahamika kama walitimuliwa au ndege ilikatazwa ruhusa ya kutua au kitu gani, ila wajumbe hao ambapo humo kuna viongozi, walifika Tanzania na ndege kugeuza nao, bado inasubiriwa ieleweke nini haswa mbivu na ipi mbichi. Waziri wa Tanzania bwana Kabudi amesema hali ya hewa ndio ilikua mbovu, Waziri wa Usafiri Kenya naye akasema mengine kwamba ndege ndio ilikua na matatizo.

=====

A plane carrying President Uhuru Kenyatta’s envoy to President Mkapa’s funeral was on Tuesday July 28 forced to turn mid-air in Monduli Tanzania.

This was announced by Foreign Affairs and East African Cooperation Minister, Prof Palamagamba Kabudi, saying the plane had, however, arrived in Nairobi safely.

Speaking at the National farewell on July 28, 2020, at the Uhuru Stadium in Dar es Salaam Prof Kabudi said the Kenyan envoy was among those who expected to represent President Uhuru Kenyatta at the funeral.

“We were expected to have with us the special envoy representing President Uhuru Kenyatta, Senator Samuel Losuron Poghisio, Majority Leader of the Kenyan Senate, but we have received information that his plane forced to turn mid-air in Monduli,” said Professor Kabudi while introducing some of the guests attending the service to represent their country.

He added: The information we have is that the plane is expected to land safely in Nairobi” Prof Kabudi told the thousands who had gathered at the national stadium.

Prof Kabudi also said they were expecting to have Zimbabwe Vice-President Kembo Mohadi who had delayed reaching Dar es Salaam due to bad weather conditions.

Mkapa, who ruled Tanzania for two terms from 1995 to 2005, died Thursday night aged 81 in a Dar es Salaam hospital over heart arrest.

The national farewell service for late Benjamin Mkapa conducted at the Uhuru Stadium before his body was transported to his home village of Lupaso in Masasi district, Mtwara for burial scheduled for Wednesday.



Source: thecitizen.co.tz
 
IMG_20200728_145649.jpg
 
However, Kenya's Foreign Affairs PS Macharia Kamau gave a contradictory explanation and said the plane had developed mechanical challenges.


Hii kauli ya waziri wa Kenya wa masuala ya kigeni Mh. Macharia Kamau inazidi kuzua maswali mengi.

Mh. Macharia Kamau kusema ndege ilikuwa na hitilafu lakini ikabidi irudi Nairobi moja kwa moja wakati tayari ilikuwa ndani ya anga ya sehemu za Monduli mkoani Arusha nchini Tanzania.

Wakati kuna viwanja vikubwa kwa dharura mjini Arusha kwenye Arusha airport au Kilimanjaro international airport viwanja vyote nchini Tanzania!
 
... hivi Tanzania iliwakilishwa kwenye msiba wa Baba Moi? Yes, nimekumbuka delegation iliongozwa na Marehemu Mkapa. Haya mambo hayana afya sana kwa ustawi wa nchi zetu hizi. Ni kama kuna kukamiana fulani hivi ambako hakuna sababu za msingi.
 
Msafara wa viongozi wa Kenya waliokuja kuhudhuria mazishi ya Rais mstaafu Benjamen Mkapa umeshindwa kutua uwanja wa ndege wa JNIA, Dar na hivyo kulazimika kurudi Nairobi.

Serukali ya Tanzania imesema ndege hiyo imeshindwa kutua kwa sababu za kiufundi, lakini Mhariri wa Radio Africa Group ya mjini Nairobi, Oliver Mathenge amesema kuwa ndege hiyo imezuiwa kutua na mamlaka za Tanzania.

Mathenge amedai msafara huo umefurushwa kutokana na mgogoro wa kidiplomasia baina ya Kenya na Tanzania uliosababishwa na janga la corona. Serikali ya Kenya imesema itatoa tamko kuhusiana na tukio hilo.!

Malisa Gj
 
Back
Top Bottom