Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ukweli utajulikana tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba yeyote mwenye kujua hili anifahamishe , zipo tetesi kwamba mgogoro wa kidiplomasia kati ya Kenya na Tanzania , uliosababishwa na Tanzania kuficha taarifa za corona umechangia.
Je jambo hili lina ukweli wowote ?
Na JK plus mawaziri wanne. Majirani tuliwapa joto la kutosha kwenye msiba.Hivi Tanzania iliwakilishwa kwenye msiba wa Baba Moi? Yes, nimekumbuka delegation iliongozwa na Marehemu Mkapa. Haya mambo hayana afya sana kwa ustawi wa nchi zetu hizi. Ni kama kuna kukamiana fulani hivi ambako hakuna sababu za msingi.
aliyesema Kenya ni "corona infested country" ni nani?Kenya ni corona virus infested country, tumeogopa labda, who knows?
Yeah ni infested sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kenya ni corona virus infested country, tumeogopa labda, who knows?
Nimeweka hii habari hapa JF ikafutwa! This was an important piece of news to share, ikafutwa! Maxence Melo
Aisee kama ni kweri basi Pombe Maghuri ana akiri ndogo kama piriton.Kutoka juu, kwa sababu Mkuu wakenya amesikika Kumponda jiwe.
Sasa jiwe ni mtu wa visasi, kaamua kuwablock
Sometimes huwa naichukia JF mpaka natapika!Wakati mwingine maamuzi ya humu yanashangaza sana na kuudhi.
Sometimes huwa naichukia JF mpaka natapika!
Tz, hatutaki unafiki wa jirani.Hivi Tanzania iliwakilishwa kwenye msiba wa Baba Moi? Yes, nimekumbuka delegation iliongozwa na Marehemu Mkapa. Haya mambo hayana afya sana kwa ustawi wa nchi zetu hizi. Ni kama kuna kukamiana fulani hivi ambako hakuna sababu za msingi.
Hilo jambo limenishangaza sana kwa viongozi wa juu wa nchi za Afrika Mashariki kutokuhudhiria, isipokuwa PM wa Burundi ambaye tunafanana kimsimamo.
Ukiwa mlevi ndio matokeo yake haya.Hata hao kenya ni wa ajabu, Moi alipofariki kwa Tanzania walienda marais wawili, leo yeye anatuponda kwanza asubuhi kuhusu covid halafu anatuma mawakilishi
Alafu kwa dharau wanatutumia senetorNa JK plus mawaziri wanne. Majirani tuliwapa joto la kutosha kwenye msiba
Nafikiri kuna jambo linajengeka hapa na litaharibu mahusiano ya nchi hizi mbili.