Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

Wajumbe wa viongozi Wakenya waliokwenda kuhudhuria msiba wa Mkapa, wageuza kutokana na hali ya hewa mbaya

Hata hao kenya ni wa ajabu,moi alipofariki kwa Tanzania walienda marais wawili,leo yeye anatuponda kwanza asubuhi kuhusu covid halafu anatuma mawakilishi
Kama kweli hamna Corona kwanini manjishuku? Mbona sikumskia akitaja Tanzania specifically
 
Uhuru ni Rais dhaifu sana , kwa nini upoteze muda kuongelea covid-19 ya nchi jirani na wakati na wewe una nchi yako? kusanyiko la leo kwenye kuaga mwili na mapokezi ya lissu ni prove kuwa Tanzania ni safe from corona, shida ya Uhuru nikuta kuionyesha dunia kuwa ana pambana na corona wakati maambukizi yana ongezeka kila leo, hili kitu haliwezi, ata extend restrictions hadi achoke mwenyewe,kwa sasa ni kama ana ona aibu tu kwa measures anazo chukua hazina matokeo.
Hahaaa! Mi nilidhani covid iliisha mbona .Mnapatwa na wasiwasi, hata bila ya kutajwa
 
Yaani asubuhi mtukashfu kuhusu corona halafu mchana mtutumie masenator wenu! Nani awapokee sasa? Na mna bahati Jiwe hana akili kama zangu, mi ningeruhusu mtue JKNIA halafu tunawatelekeza pale hamna mtu yeyote kuja kuwapokea wala kuwaelekeza chochote. Sasa sijui mngekaa hapo airport hadi lini, mazafanta Wakenya.
 
Dah! Ina maana wamezuia hadi wapinzani.
Viongozi wa upinzani walifika msibani wakati raisi tayari amekwisha ingia, kwa protokali viongozi wote wanaingia kabla ya raisi, rais ndo huwa mtu wa mwisho,baada ya hapo ni lazima utazuiwa. Hawakufuata utaratibu.

Kwa upande wenu ninyi, si hali ya hewa wala hitilafu ya ndege, ninyi mmerudishwa kwenu kwa amri kutoka juu.
 
Hata Mwakilishi wa Serikali ya Zimbabwe ameshindwa kufika sababu ya hali ya hewa.

Sema hata nyie Wakenya mnaitetemekea sana korona.
Baadaye alifika kwa kuchelewa, hii inaeleweka, kwanini mwakilishi wa manyangau abadilishie gia angani?
 
kwani nia yako ilikuwa ni kutaka Rais wetu aje kuambukizwa kirusi?

Ndio maana tukawasaidia masenator ili wasimpelekee rais wenu mpenzi corona[emoji16][emoji16][emoji16]

Si kwa ubaya, hii inaitwa wajali wengine kuliko hata unavyojijali, lakini uhuru na wakenya mmeamua kujifunza in hard way[emoji4][emoji4][emoji4]
 
The delegation was led by Senate Majority Leader Samuel Poghisio who was set to lead Senators in the county revenue sharing formula vote. The reason he left the country when his vote was needed is beyond anyone.
 
Hata hao kenya ni wa ajabu,moi alipofariki kwa Tanzania walienda marais wawili,leo yeye anatuponda kwanza asubuhi kuhusu covid halafu anatuma mawakilishi
Hili suala kumbe nilikuwa nakiangalia juu juu!
..
Kama ni hivyo hao jamaa ilikuwa halali yao kurudishwa walikotoka.

. Hakika Tanzania sasa tunaongozwa na wanaume.
 
Inasemekana plan yao ilikuwa baada ya mazishi hao viongozi wa Kenya wakifika nchini mwao watangaze kuwa wamepata corona, pongezi ziende kwa intelligence yetu ilizuiya hiyo njama.

Hawa jamaa sijui wanapata faida gani kutaka kuiaminisha dunia kuwa Tz kuna corona?
Hili suala kumbe nilikuwa nakiangalia juu juu!
..
Kama ni hivyo hao jamaa ilikuwa halali yao kurudishwa walikotoka.

Hakika Tanzania sasa tunaongozwa na wanaume.
 
Mimi sioni logic! Ni kwa nini iruhusiwe kuondoka Nairobi? Wangekataliwa kabla ya kuanza safari! Ni matatizo tu ya hali ya hewa.
 
Tony254,

Acha tu tungoje muda wake huishe aondoke, hamna namna, ameharibu ushikamano wa EA sana, historia itamkumbuka kwa hilo. Sijui anajijengea sifa ipi baada ya kustaafu.
 
Back
Top Bottom