Uchaguzi 2020 Wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka

Uchaguzi 2020 Wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka

Ndugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu, wakabadili gia kuwa akirudi atakamatwa airport, Jamaa akarudi tena kwa kishindo wakashindwa kumkamata airport.

Wakasema Chadema haiwezi kumpa nafasi ya kugombea Urais maana Mbowe na Lema hawamtaki wanamtaka Lazaro, Chadema ikampa kugombea tena kwa kura nyingi sana. Wakasema tume lazima itamwengua maana ana kesi kwahiyo hatatoboa, akateuliwa kugombea.

Wakasema hana pesa za kufanya kampeni hawezi kuzunguka nchi nzima, leo yupo anazunguka kila kona tena kwa speed ya 5GB. Wakasema hata pata watu kwenye mikutano yake, sasa ni mafuriko.

Mgombea wao akawaambia wafuasi wake kwamba picha za mikutano ya Lissu ni za ku edit, wamegundua kuwa mgombea wao hakuwa sahihi wamekuja na propaganda mpya kuwa watu wanaojaa kwenye mikutano ya Lissu siyo wapiga kura kwa kuwa hawajajiandikisha ila wanafunzi na wale wanaojaa kwenye fiesta ndio wapiga kura. Hakika wajumbe wamezidi kuyeyuka na propaganda za maji taka. Mwaka huu kazi mnayo wajumbe,a.k.a makada a.k.a uvccm walioagizwa kujibu hoja.
Tuliambiwa upizani umekufa hawa jamaa nawashanga sana,kampeni za kwanza walikua wanatufokea sasa wamekuja na mbwebwe za kupigia watu magoti tulia spana zifanye kazi yake nyie si mmefanya mambo mengi sana kwanini msitulie mkango tare 28 mnaogoa nini kama upinzani umekufa mwaka huu mtajamba pafyumu
 
Huna lolote wewe , hivi ulijua Lissu anaweza kutishwa na vikelele vyako vya kizushi ? Never Ever ! Lissu siyo wa hivyo na nakuhakikishia Lissu anamuondoa Magufuli madarakani


Mkifatilia threads za Mayalla hakumtisha Lissu bali alimtia moyo kwamba arudi aje kugombea. Kwa hili namtetea kaka yangu Pascal
 
Jamani tukumbuke Mtumishi wa Mungu Mwingira aliyato maono hadharani nina imani unabii unaenda kutimia upepo unao vuma kwa Lisu si wakawaida pamoja vyombo vya habari havisemi ila jipu linaenda kumpasukia Mtumbuaji Mwenyewe
 
Back
Top Bottom