Wajumbe wanaomuunga mkono Lissu wanyimwa vitambulisho ili kesho washindwe kufika mkutanoni, kipigo kizito kimeahidiwa kwa wasiofuata utaratibu

POLICCM MARUFUKU KUSOGEA ENEO LA UCHAGUZI.
 
Yenu yanewashinda huko jana 🀣😹
acha upotoshaji mtumishi, nipo dar saiv,
halafu,

mwambie ndugu yako Lema kwamba siasa ni sayansi, sio kufungia wajumbe gest house na kisha kuwafungulia wakati uchaguzi umekwisha πŸ’
 
CCM huwezi kuta upuuzi huu
Haya wajumbe tukae chini wajumbe tukae chini tusikie maneno ya wazee..

Isiyo kongwe... ni nini wajumbe? Haivushi

Ndio wajumbe isiyo kongwe haivushi haya basi sasa tumsikie Mzee wa Chama..
 
Upuuzi mliofanyiwa jana kule Dodoma hujauona? Wanaume wazima mnapelekeshwa na mwanamke tena raia wa nchi jirani ya Zanzibar.
Uzuri n kwamba ht ww unapelekeshwa mana yule n rais wako utake au usitake πŸ˜‚
 
Kengeza Macho Antagonistic Ni hatari Kama walivyo wenzake Vegetaz.
 
acha upotoshaji mtumishi, nipo dar saiv,
halafu,

mwambie ndugu yako Lema kwamba siasa ni sayansi, sio kufungia wajumbe gest house na kisha kuwafungulia wakati uchaguzi umekwisha πŸ’
We piga porojo tunakusubiri jimboni tukukate 😹😹
 
Kigaila ukiiua CHADEMA hata hizo nafasi za Viti maalum hautavipata.
 
We piga porojo tunakusubiri jimboni tukukate 😹😹
we! we! we!,

Thubutu,

labda wakakate nyasi, lakini sio kumkata mtumishi wa wananchi na kiongozi mchapa kazi makini asiechoka πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…