Wajuzi Hapa ni Wapi?

Wajuzi Hapa ni Wapi?

Iringa hapo, ukipita Ilula mbele huko kabla kufika Gangilonga utakuta huo mlima nina picha km hiyo nilipiga pale mwaka 2016.
 
Aisee aliesema hapo Iringa mitaa ya Puma kabla haujafika darajani aje hapa
Kuna Puma mbili
  1. Iko bondeni karibu na mto Dar - Mbeya highway (ukitoka Mafinga ukivuka mto ipo moja kushoto mbele kidogo kuna kona inafanana na hiyo)
  2. Mjini kabisa - Mshindo
 
Mkuu Gangilonga iko mjini kabisa
Hii ni pale kati ilula kuitafuta stand mpya ipogolo.
Ukimaliza huo mlima Iringa Ipogolo hapa,
Sikumbuki vizuri gangilonga au tanangozi ni juu kule mlimani.
Ila kwenye hiyo picha ni unapita hasa ukiwa unaenda Mbeya au Songea mikoa ya kusini kwa ujumla utapita hapo.ni kushoto juu huko na hizo kambi tent ni wachina hao wanatafuta chao.
 
👍🙏
 
Back
Top Bottom