Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali, Ilula Iringa hiyomdorii,ilula
Ndiuka?Umenipa clue, hii kona inafanana sana na ile ya pale karibu na Puma darajani
Kuna Puma mbiliAisee aliesema hapo Iringa mitaa ya Puma kabla haujafika darajani aje hapa
Ungeiweka hapa tukafananisha mkuu.Iringa hapo, ukipita Ilula mbele huko kabla kufika Gangilonga utakuta huo mlima nina picha km hiyo nilipiga pale mwaka 2016.
Miaka 8 iliyopita jombi hiyo kazi mpk niipate picha sa ngapi.Ungeiweka hapa tukafananisha mkuu.
Hii ni pale kati ilula kuitafuta stand mpya ipogolo.Mkuu Gangilonga iko mjini kabisa
👍🙏Hii ni pale kati ilula kuitafuta stand mpya ipogolo.
Ukimaliza huo mlima Iringa Ipogolo hapa,
Sikumbuki vizuri gangilonga au tanangozi ni juu kule mlimani.
Ila kwenye hiyo picha ni unapita hasa ukiwa unaenda Mbeya au Songea mikoa ya kusini kwa ujumla utapita hapo.ni kushoto juu huko na hizo kambi tent ni wachina hao wanatafuta chao.
Kama Ilula kuelekea Kitonga.....
Ukitoka ilula mazombe kwenye jiwe hapo