Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi.
Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k.
Ukienda pale kariakoo jamii zinazokimbiza zinajulikana na ukiwafuatilia wengi wanakunywa, Maofisini huku maboss na watumishi wengine ni wadau wa kustua moja baridi moja moto.
Kwenye biashara, Maofisini, wakulima, wafugaji, n.k. wapo wengi sana wanaopata pumziko kwenye viti virefu mida ya jioni hadi night.
Kwenye familia unaweza kumkuta mnyaji ndie katoboa zaidi