smart tv inakuwa inatumia OS yaweza kuwa android sanasana (vidaa, roku, etc). yaani tv yako unakuwa na uwezo wa kuinistall app na kubrowse web mbali mbali.
4k ni resolution ubora wa picha. hii kibongo bongo si muhimu sana sababu video nyingi tunazopakuwa na kupata kwenye visimbusi zinaishia sana sana 1080p(full hd)
Tv inaweza isiwe 4k na bado ikawa ni smart.