Wajuzi: Ni kweli treni ina sumaku ya kuvuta gari linapopita karibu yake au ni hofu ya dereva?

Gari zinazokuwa zimesimama k karibu na reli pindi treni inapita kwa nini huwa hazizimi?
 
Very poor of you boy. Terribly poor explanation!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kweli,nimesoma mambo ya tren na reli..kwa tanzania hatuna treni hata moja inayotumia sumaku.

Afadhali nimepata mtaalam aliyebobea kwenye tasnia ya treni.
Naomba kuuliza, nasikia kwenye treni kwa mvele kuna chuma kina sumaku (haihusiani na magurudumu ya treni) . Hii kazi yake ni kusafisha njia na kuvuta vitu vyenye asili ya chuma. Je, haya maelezo yana ukweli wowote?

Baada ya hapo ndio ntakuja na swali la hiyo sumaku inaathiri vipi reli na inaweza kuathiri kitu kingine kwa umbali gani kutoka kwenye hiyo sumaku kwenye kichwa cha treni?

Shukrani
 
Me nlifundishwa phizikia kuwa Law of conservation of energy inatokea wakati vitu vikiwa vinakaribiana, Yaan ile hewa in between ikiwa disturbed ndo hicho kitendo cha kuvutwa kinatokea. Anyway let's wait for further explanations.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina uhakika, lakini najua engine kama ile iligonga daladala Moro iko driven by electric generators. So if the generators are powerful enough kuna uwezekano wa kudevelop powerful magnetic flux (Faraday's law and Lenz's in physics) hivyo nguvu ya sumaku kuvuta machuma machuma yanayokuwa karibu yake, the way a woman is attracted to a man in love affairs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No! Not enough. Pale Moro ilipotokra ajali gari hazipandi reli, isipokuws reli IPO somewhat buried kwa chini below level ya barabara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama hata wewe umeelewa hayo makorokocho umepost.....hivi umeshindwa kupost vitu line ambavyo binadamu mwenzako ataweza kuvielewa bila kutumia misuli yote ya ubongo?!

SONY Xperia Z5 Premium
COTTONAND WITH YOUR CONDITION
 
Hii inawezekana kweli!!?[emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama hata wewe umeelewa hayo makorokocho umepost.....hivi umeshindwa kupost vitu line ambavyo binadamu mwenzako ataweza kuvielewa bila kutumia misuli yote ya ubongo?!

SONY Xperia Z5 Premium
Mkuu ni wachache sana ambao hujitokeza na kusema hawaelewi english ni bora kuwa muwazi kama wewe.
Kama yai haliivi download kamusi.
Siwezi post kitu nisichokielewa itakuwa uchizi.
 
Sunction effect nimemkumba Bernoulli's principle kwenye fluid mechanics ....tulisoma physics advance hapo ndio tunakumbuka jinsi pressure na velocity zinavyousiana. Jinsi ndege inavyo take off , concept ya kupiga mpira adhabu yaani free kick (chopping a ball). Kweli physics inaishi daima.

Ila kimsingi hata mtu ukiruka kwenye treni wakati inatembea unavutwa uvunguni hiyo inaitwa suction effect.

Kama mnakumbuka ile miaka 2002 kama sijakosea kuna mwanajeshi aliruka huku kabeba kijana mabegani .
Point ni kwa high velocity inasababisha high pressure kwa hiyo Ile pressure inakuvuta ndani hiyo ndio so called sunction effect.

Pia hata kwenye sharpness ya kisu inatumika maana tunanoa kisu ilikupungiza surface area maana pressure =force/surface area kwa hiyo surface area ikiwa ndogo pressure ikua kubwa maana hapo inverse proportional .

Pia kwenye shape ya ndege inachongwa mbele ilikupunguza surface area ili kusababisha pressure ya kwenye sharp area kuwa kubwa na juu kua ndogo na matokeo ndege inatake off.

Wataalamu wa grammar msinicheke ila physics inaishi . Nakumbusha advance kipindi hicho
 
Hii niliisoma zamaaaaaani nikiwa chekechea kwa sasa nimesahau.
 
Hahahah asante kwa hii elimu ila kama ni mtihani hili jibu lako silitumiii Ng'oo
 
Mimi kuna mtu aliniambia eti ukitaka kudondosha train weka ndizi mbivu kwenye ' sijui ni kweli au ni fix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini kuwe na mvutano ipitapo train

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…