Sijui kama mtanielewa,ila ngoja nielekeze kadili ninavyoweza.
Iko hivi,gari linapokua linavuka reli,lazima dreva apunguze mwembo,akisha punguza mwendo,tairi za gari zinaanza kupanda reli, (bargaining ) mara nyingi tairi za gari kwenye chuma cha reli zina teleza teleza ili kupita,kwamaana hiyo,gari linachukua sekunde kadhaa kuvuka reli,kwahiyo wakati gari inabargain kuvuka ndo wakati treni hufika na kuigonga...!ndomana dreva mzuri wa gari ukishasikia ile honi ya train simama hata kama iko mbali kilo mita tatu..
Kumbuka,train haina njia ya kuchepuka inatumia one way,kwamaana hata ikugonge wewe,itahesabika wewe ndo umeigonga,sababu umeikuta kwenye njia yake,train haikufuati wewe ila wewe ndo unaifuata kwenye njia yake.
Nb,mwenye swali lolote kuhusu train na reli aniulize