Wajuzi: Ni kweli treni ina sumaku ya kuvuta gari linapopita karibu yake au ni hofu ya dereva?

Wajuzi: Ni kweli treni ina sumaku ya kuvuta gari linapopita karibu yake au ni hofu ya dereva?

Me nijuavyo madereva huchachawa tu haswa gari za manual gear tu. Automatic labda dereva aliamua kujimaliza mwenyewe.. but gari kunasa ati sumaku blah blah hakuna kila chombo kinatengezewa kwa usalama wa wote sio silaha ile.
 
Siku za hv karibun imetokea ajali ya tren mkoan Morogoro, ajali hii imehusisha basi dogo aina ya coaster linalofanya safar zake Kihonda - Mjin na tren la abiria linalofanya safari za Dar - Mwanza.

Sasa kumekuwa na maneno mengi sana midomoni mwa watu kuwa treni ina sumaku ambayo inapelekea kulivuta gari mara tu linapopita karibu yake na hivyo kusababisha hizo ajali na yapo maneno ya watu wengine yanasema kwamba hofu ya dereva wa gari ndio inayosababisha ajali.

Sasa nilitaka kujua kwa faida yangu na watu wengine! Ni kweli kwamba treni ina sumaku ambayo husababisha gari kuzima na kuligonga au hofu ya dereva ndio inayosababisha gari kugongwa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Cyo kwamba gari linavutwa, bali injini unazima kutokana huo usumaku uliopo kwenye treni..na ajali zote inakuaga ivo hata hyo ya moro gari ilizimika haikuvutwa' sumaku ya treni ina uwezo mkubwa sana so gari inapokua karibu as material ya injini ni chuma hapo ndo inapokua disturbed na kuzima'

Nmeandka kikawaida ili ieleweke kwa kila mwanadamu..
 
Tren ili iweze kupita kwenye reli magurudumu yake yana unatisho wa sumaku.

Sasa nguvu hii ya usumaku hupokelewa na mataruma tren inapokuwa karibu. Ndio maana mita 500 hutakiwi kuwa kwenye hayo mataruma

Gari Lina magurumu ya mpira lkn rim ni cast iron hivyo hupokea nguvu ya usumaku kirahisi sana na kufanya gari kuwa mzito lisiweze kuvuka reli Adi tren ipite

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika kwa pointi utadhani ni kweli, kwa uongo huu ulitakiwa kufikishwa mahakamani. Unajua sunction effect? Kasome physics vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ila umejitahidi kujifikiria,hongera sana afadhali yako wewe umejaribu.

Nimetazama quora kuna mechanic expert kasema hv
This is likely a Venturi effect. As you got close to the train, the air velocity (locally) was much higher. The air right next to the train is traveling at approximately the same speed as the train (no-slip boundary condition). As the air velocity goes up, the local static pressure goes down (conservation of energy). The lower static pressure near the train was likely pulling you in. This is basically the same principle that's used to suction fluid up in eductors.
Thanks
Mie wa kayumba. Fanya mchakato basi

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Tren ili iweze kupita kwenye reli magurudumu yake yana unatisho wa sumaku.

Sasa nguvu hii ya usumaku hupokelewa na mataruma tren inapokuwa karibu. Ndio maana mita 500 hutakiwi kuwa kwenye hayo mataruma

Gari Lina magurumu ya mpira lkn rim ni cast iron hivyo hupokea nguvu ya usumaku kirahisi sana na kufanya gari kuwa mzito lisiweze kuvuka reli Adi tren ipite

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli,nimesoma mambo ya tren na reli..kwa tanzania hatuna treni hata moja inayotumia sumaku.
 
Sijui kama mtanielewa,ila ngoja nielekeze kadili ninavyoweza.

Iko hivi,gari linapokua linavuka reli,lazima dreva apunguze mwembo,akisha punguza mwendo,tairi za gari zinaanza kupanda reli, (bargaining ) mara nyingi tairi za gari kwenye chuma cha reli zina teleza teleza ili kupita,kwamaana hiyo,gari linachukua sekunde kadhaa kuvuka reli,kwahiyo wakati gari inabargain kuvuka ndo wakati treni hufika na kuigonga...!ndomana dreva mzuri wa gari ukishasikia ile honi ya train simama hata kama iko mbali kilo mita tatu..

Kumbuka,train haina njia ya kuchepuka inatumia one way,kwamaana hata ikugonge wewe,itahesabika wewe ndo umeigonga,sababu umeikuta kwenye njia yake,train haikufuati wewe ila wewe ndo unaifuata kwenye njia yake.

Nb,mwenye swali lolote kuhusu train na reli aniulize
 
Ngoja niwafungue kidogo. Kwa taaluma mm ni engineer wa mitambo

Treni zipo za aina mbili zipo zile zinazojiendesha kwa umeme na zipo zinazoendeshwa kwa nguvu ya mzunguko wa engine

Treni ya umeme IPO hi
Ivi ili umeme uzalishwe ni lazima pawepo na usumaku.. Waya unapopita kwenye usumaku(magnetic field) husababisha umeme kuflow, umeme huo huchukuliwa mpaka kwenye magurudumu na kuyazungusha kwa kutumia mfumo wa motor.

Usumaku huishia pale tu umeme unapozalishwa na hausambai sehem nyingine.

Kinachosababisha watu wengi kushindwa kuondoa magari yao kwenye reli ni watu kishindwa kucontrol mafuta na kulazimisha gari iondoke kwa speed isiyo ya kawaida jambo ambalo hupelekea gari kujizima na kushindwa kuondoka eneo LA tukio

Kwaiyo sio kweli kwamba tren huvuta magari Bali ni madereva kushindwa kucontrol mafuta pindi wanapohisi hatari.
 
Haswaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wandugu gari huzimika baada ya kulazimishwa iondoke na mwendo wa kushtuka ikiwa imepunguza mwendo,hivyo huzimika hapo na kukutwa hapo.

Hii theory inaaply vizuri,chukua gari au pikipiki washa,harafu ukiisha ingiza gia achia crutch vuta mafuta ghafla itazima tu.

Ndio maana ili kuepusha haya mambo Siku hizi kila penye .X.hakuna mlima tena kuipanda reli Ila panasawazishwa,ili gari zisiwe zinapunguza mwendo eneo lile.
 
Hakuna sumaku
Ni mashie ya treni ina nguvu nyingi kiasi inafanya nguvu ya mashinevya gari zikidogeleana inazima yenyewe
 
Back
Top Bottom