20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,186
- 7,184
Labda angelizmgumzia kuhusu kani ya uvutani.Sio kweli bwana gari moshi magurudumu yake yana rridge upande wa ndan ili kuzuia yasitoke off the railway track.
Hakuna cha sumaku wala nini na halafu cast iron na sumaku si washikaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Kani ya uvutani kati ya vitu viwili inategemea na kukua kulingana na uzito wa vitu hivyo. Yaani kama vitu vikiwa na uzito mkubwa nguvu inayo vutana huwa kubwa., ndio maana magari makubwa hayatakiwi kupishana karibu sana.
Pia nguvu hiii huongezeka pindi umbali kati ya kitu kimoja na kingine unapo pungua.
Hiii huweza sababisha hata meli kugonga mwamba au kugongana endapo zitakuwa zinapishana karibu sana.
Carpe diem.....[emoji187]