Wajuzi wa 'car drifting'... mkutane hapa

kayanda01

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Posts
1,216
Reaction score
1,062
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?

Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?

Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.

Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.

Saga pira. Liza mbwa!
 
Front wheel drive inaweza drift?
IMG_20201122_203052.jpg
 
Mkuu, Bongo hapa sijawahi ona drifting zaidi na zaidi kuna Stunts tu za kawaida kama Donuts, Powerslides, Burnouts na U Turns tu.

Gari ya RWD ni rahisi sana kufanya hizo stunts hapo juu kama Powerslides, Burnout na Donuts (360°).

Ila kama gari yako ni FWD pia unaweza piga U Turns, Burnout kidogo na Powerslide pia.

Ni mchezo mzuri kusema ukweli karibu mkuu, ila umakini muhimu Sana ufanyapo hayo mambo.
images (73).jpg
 
Huko ndio kufanya nn?
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?

Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?

Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.

Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.

Saga pira. Liza mbwa!
 
Mkuu, Bongo hapa sijawahi ona drifting zaidi na zaidi kuna Stunts tu za kawaida kama Donuts, Powerslides, Burnouts na U Turns tu.

Gari ya RWD ni rahisi sana kufanya hizo stunts hapo juu kama Powerslides, Burnout na Donuts (360°).

Ila kama gari yako ni FWD pia unaweza piga U Turns, Burnout kidogo na Powerslide pia.

Ni mchezo mzuri kusema ukweli karibu mkuu, ila umakini muhimu Sana ufanyapo hayo mambo. View attachment 1635178

Nataka kujifunza huo mchezo. I like it. Thanks mkuu

Niliona drift ya Zanzibar majuzi kati, hadi Toyota IST zinapigishwa drift.
 
Toyota IST Vs VW Polo.... for drifting.
 
Ndio, ila Kwa mtu anayejifunza au dereva yoyote ina ugumu kidogo. Maana kudrift gari inayovuta mbele inataka uwe na control sana na drift yake sio kama ya Rear wheel drive.
Kumwambia any car can drift apo ndo unakosea...he can go for any car hajui hii FWD au RWD, akutane na kimbembe hana controls kwenye FWD (mind you he is not experienced na drifting).
 
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?

Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?

Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.

Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.

Saga pira. Liza mbwa!
Modifications to some extent zinakusaidia kua na uhakika na usalama zaiiid. Lower you car, tafuta tairi nzuri, mazingira pia. Nenda kajifunzie barabara ambako hakuna watu wala magari mingi kuepusha madhara
 
Kumwambia any car can drift apo ndo unakosea...he can go for any car hajui hii FWD au RWD, akutane na kimbembe hana controls kwenye FWD (mind you he is not experienced na drifting).
Basi tumwambie atafute Rear wheel drive (Red)- gari inayovuta matairi ya nyuma au 4wd-inayovuta tairi zote nne.Na iwe ni sedan,saloon au hatchback yenye ground clearance ndogo au uvungu mdogo sio zilizoinuliwa sana.

Pia aende kufanya mazoezi eneo la wazi au uwanjani Kwa usalama zaidi.
 
Drifting inapendeza Kwenye sedan manual transmission...
Hii michezo inapendwa Sana na vijana wa kizanzibar kuna vijana ni mafundi wa drifting si mchezo huku Tanganyika sijaona bado kama ilivyo znz
 
Back
Top Bottom