Wajuzi wa 'car drifting'... mkutane hapa

Wajuzi wa 'car drifting'... mkutane hapa

Ist haiwez kufanya Drifting .. labda unaonag Donuts tu
Sikujua kuwa Drifting ni package pana kiasi hicho. Thanks mkuu for sharing.

Zanzibar huwa wanafanya drift competition mara kwa mara. Huwa naona kuna Ist mle.
 
mimi ndio mchezo wangu napenda sana japo bado sijawa konki natumia gari ya kawaida..ni automatic natamani sana kufanya kwa gari ya manual ila bado naendelea kupata expriance zaidi nitafika tuu.
 
mimi ndio mchezo wangu napenda sana japo bado sijawa konki natumia gari ya kawaida..ni automatic natamani sana kufanya kwa gari ya manual ila bado naendelea kupata expriance zaidi nitafika tuu.

Nami nitaanza kujifunza muda si mrefu.
 
Jamaa Wana balaa , halafu hiyo moja ipo stationary lakini inaonekena Kama ina burn tyre!!!!??? Nayo ni aina ya drifting?
Hao wanaudhamini wa makampuni ndio jeuri Yao inapozidi.

Hiyo inaitwa Burnout, dereva wa gari kama ni automatic huwa anazuia brake wastani baada ya kuweka Gia kabla ya kuondoka na kukanyaga mafuta sana kisha gari haiondoki inaanza kusota Kwa tairi kuzunguka na kusababisha kutoa Moshi.
 
Wacheki hao wakina Magesh Ndaba na Lefa Lentja.

Ni balaa. Naona wanatumia gari zilizochoka ila ni imara sana. Baada ya hapo service ya gari ni noma kubwa.

So inabidi mtu awe na gari imara kwaajili ya Drifting tu. Na gari nyingine ya kutembelea rides za kawaida.

Napenda kujua kudrift. Nafikiria nitafute cresta gx 100 iliyochoka kwa bei nafuu, then naiweka fit just special for drifting tu.
 
Magesh Ndaba... ana balaa kubwa huyu mkushi.
 
naomba kujua matumizi ya brake na handbrake kwenye drifting,
Brake unatumia kwenye burnouts kuzuia gari kisha unakanyaga mafuta kuzipa tyre mzunguko you zikitoa Moshi kutokana na kusugua ardhi bila kwenda.

Handbrake unatumia kwenye powerslide na donuts. Ila usitumie hizi cable hands brake labda uwe sehemu ya wazi na gari unaimudu. Sport car zinatumia hydrolic hand brake hizi hand brake za kawaida kuna hatari ya kunasa na wewe umekanyaga mafuta hapo gari itazunguka utashindwa kuidhibiti kama si mzoefu.
 
Gari kama cresta gx100 inatumia handbrake aina gani? Naitaka cresta kwaajili ya kujifunzia drifting
 
Ni trye brand gani ambazo ni recommended for drifting?
 
Gari kama cresta gx100 inatumia handbrake aina gani? Naitaka cresta kwaajili ya kujifunzia drifting
Inatumia handbrake ya cable, hizo hand brake za hydrolic wewe ndio utaiweka Kwa gharama zako.

Gx/Alteza/Subaru unatumia handbrake hiyo hiyo ya cable na unachezea vizuri.
 
Back
Top Bottom