Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa bhana...😂😂Front wheel drive inaweza drift?
mwisho upinduke nacho kigari chako😁Huyu jamaa bhana...😂😂
Atafanya watu tutimbe na ist fwd zetu mitaani huko😂😂😂
Ndio, mpaka Voxy unapiga drift ila yakupasa uwe na control haswaHadi noar?
Ilitakiwa uwaone na vijana wa soweto town , South Africa na Bmw 318 (Gusheshe)zao, jamaa nao Wana balaa kwa michezo hiyoDrifting inapendeza Kwenye sedan manual transmission...
Hii michezo inapendwa Sana na vijana wa kizanzibar kuna vijana ni mafundi wa drifting si mchezo huku Tanganyika sijaona bado kama ilivyo znz
Ilitakiwa uwaone na vijana wa soweto town , South Africa na Bmw 318 (Gusheshe)zao, jamaa nao Wana balaa kwa michezo hiyo
Modification inategemea na gari mfano Subaru nyingi zinavuta Awd so ili kufany iwe na spec ya Drifting kuna kitu kinaitwa Driver's Control Centre Differential (DCCD) ikipigwa hii setup unakuwa na Assurance ya Drifting..Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?
Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?
Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.
Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.
Saga pira. Liza mbwa!
Hajah jamaa yeye amekutana na picha ya gari tu aka-download akaitupia hapa,hayo unayomuuliza hata haelewi mzee baba.Hii ni Concept Car au
Modification inategemea na gari mfano Subaru nyingi zinavuta Awd so ili kufany iwe na spec ya Drifting kuna kitu kinaitwa Driver's Control Centre Differential (DCCD) ikipigwa hii setup unakuwa na Assurance ya Drifting..
(Kuna somo hapa sitaingia deep)
Kuna Rwd na Fwd.. hizi zinawez ku drift ila.. inategemea na uwezo wa dereva hasa FWD sio nzr sana kwa hiyo michezo.
Ila RWD ndio best option for Drifting.. so before hujaamua ku drift hakikisha gari yako inavutaje.
Tukitoka hapo Drifting ni tofaut na Donuts or power slides au Side ways.. etc..
Drifting ni much more complicated.. inahitj Ufundi...
Sijaona Baby walker itakayo drift unless.. ufanye Donuts tu.. kuanzi Torque mpk handling hazina hiyo spec.. utaua watu
South Africa kuna mwamba anaitwa Magesh Ndaba huyu ana balaa mpaka wamefikia hatua ya kumuita King of Drift.
Na kuna dada anaitwa Stacey Lee yeye ndio Queen of Drift huyu alipata mpaka nafasi ya kwenda Asia na America kushindana na akafanya vyema. Hao wote wa South wanatumia BMW old model.
Drifting is a very expensive hobby, ukiachana na matairi kuungua engine pia huwa hazikai , maana Zina revv rapidly to red line from zero rpms , an excellent way to kill oil pump and valve guides , hawatumii clutch asbestos tulizozoea wanatumia copper clutch ambazo sio tu ni expensive bali pia zinavumilia misukosuko ya sudden torques .Kwenye burnouts... ule moshi ni tairi kuungua? Ama ni moshi wa injini? Ulaji wa mafuta unakuwaje?
I think, drifting ni burudani yenye gharama!
'Bmw, 318 320 na 325 ndio gari inayotumika sana kwa michezo hiyo ni ngumu na ni gari zinakimbia sana'.Drifting is a very expensive hobby, ukiachana na matairi kuungua engine pia huwa hazikai , maana Zina revv rapidly to red line from zero rpms , an excellent way to kill oil pump and valve guides , hawatumii clutch asbestos tulizozoea wanatumia copper clutch ambazo sio tu ni expensive bali pia zinavumilia misukosuko ya sudden torques .
Bmw, 318 320 na 325 ndio gari inayotumika sana kwa michezo hiyo ni ngumu na ni gari zinakimbia sana , hilbrow majamabzi walikuwa wanatumia aina hiyo ya gari katika matukio yao mengi ,nicknamed "Gusheshe" derived from shesha, a zulu word meaning hurry.
Mcheki na Magesh Ndaba, huyu ndio King of Drift. Pia watazame washkaji zake wakina Eddie Rasta.Nimecheki YouTube clips za Stacey. She rocks!!
Tafuta Cresta Gx 100 ambayo ni RWD, Mark 2 gr 100 zile balloon ila iwe RWD. Tairi ujitahidi kufunga za maana kama Bridgestone,Pirreli.Natafuta VW Polo (old model) kwaajili ya drifting.
Kuna VW Polo ambazo ni RWD?
Japo naona drifting nyingi BMW is the beast.
Ni Moshi wa tyre, ulaji wa mafuta ni kawaida inategemea na unavyo rev engine.Kwenye burnouts... ule moshi ni tairi kuungua? Ama ni moshi wa injini? Ulaji wa mafuta unakuwaje?
I think, drifting ni burudani yenye gharama!