Wajuzi wa 'car drifting'... mkutane hapa

Drifting inapendeza Kwenye sedan manual transmission...
Hii michezo inapendwa Sana na vijana wa kizanzibar kuna vijana ni mafundi wa drifting si mchezo huku Tanganyika sijaona bado kama ilivyo znz
Ilitakiwa uwaone na vijana wa soweto town , South Africa na Bmw 318 (Gusheshe)zao, jamaa nao Wana balaa kwa michezo hiyo
 
South Africa kuna mwamba anaitwa Magesh Ndaba huyu ana balaa mpaka wamefikia hatua ya kumuita King of Drift.

Na kuna dada anaitwa Stacey Lee yeye ndio Queen of Drift huyu alipata mpaka nafasi ya kwenda Asia na America kushindana na akafanya vyema. Hao wote wa South wanatumia BMW old model.
 
Katika jamii ya baby-walker cars, ni brand gani inafaa kwa drifting?

Je, ili gari iweze kudrift, kuna any mechanical modifications zinazofanyika kwenye gari? Ama ni skills tu za driver?

Nataka kujifunza car drifting. I like it sana, just for leisure & fun.

Wajuzi wa car drifting mwageni ABCs kuhusu mchezo huo.

Saga pira. Liza mbwa!
Modification inategemea na gari mfano Subaru nyingi zinavuta Awd so ili kufany iwe na spec ya Drifting kuna kitu kinaitwa Driver's Control Centre Differential (DCCD) ikipigwa hii setup unakuwa na Assurance ya Drifting..
(Kuna somo hapa sitaingia deep)

Kuna Rwd na Fwd.. hizi zinawez ku drift ila.. inategemea na uwezo wa dereva hasa FWD sio nzr sana kwa hiyo michezo.

Ila RWD ndio best option for Drifting.. so before hujaamua ku drift hakikisha gari yako inavutaje.

Tukitoka hapo Drifting ni tofaut na Donuts or power slides au Side ways.. etc..

Drifting ni much more complicated.. inahitj Ufundi...

Sijaona Baby walker itakayo drift unless.. ufanye Donuts tu.. kuanzi Torque mpk handling hazina hiyo spec.. utaua watu
 
Sikujua kuwa Drifting ni package pana kiasi hicho. Thanks mkuu for sharing.

Zanzibar huwa wanafanya drift competition mara kwa mara. Huwa naona kuna Ist mle.
 
South Africa kuna mwamba anaitwa Magesh Ndaba huyu ana balaa mpaka wamefikia hatua ya kumuita King of Drift.

Na kuna dada anaitwa Stacey Lee yeye ndio Queen of Drift huyu alipata mpaka nafasi ya kwenda Asia na America kushindana na akafanya vyema. Hao wote wa South wanatumia BMW old model.

Nimecheki YouTube clips za Stacey. She rocks!!
 
Kuna jamaa wa south au Botswana kama sikosei, mtu anashuka nje ya gar afu gari linaendelea kudrift on its own... something like automated drift. Huwa najiuliza sana ni modifications gani zinafanyika mle ndani hadi kuwa na 'auto drift'.
 
Kwenye burnouts... ule moshi ni tairi kuungua? Ama ni moshi wa injini? Ulaji wa mafuta unakuwaje?

I think, drifting ni burudani yenye gharama!
 
Natafuta VW Polo (old model) kwaajili ya drifting.

Kuna VW Polo ambazo ni RWD?

Japo naona drifting nyingi BMW is the beast.
 
Drifting is a very expensive hobby, ukiachana na matairi kuungua engine pia huwa hazikai , maana Zina revv rapidly to red line from zero rpms , an excellent way to kill oil pump and valve guides , hawatumii clutch asbestos tulizozoea wanatumia copper clutch ambazo sio tu ni expensive bali pia zinavumilia misukosuko ya sudden torques .

Bmw, 318 320 na 325 ndio gari inayotumika sana kwa michezo hiyo ni ngumu na ni gari zinakimbia sana , hilbrow majamabzi walikuwa wanatumia aina hiyo ya gari katika matukio yao mengi ,nicknamed "Gusheshe" derived from shesha, a zulu word meaning hurry.
 
'Bmw, 318 320 na 325 ndio gari inayotumika sana kwa michezo hiyo ni ngumu na ni gari zinakimbia sana'.

Hizo Bmw 318/320/325 mbona zote ni mwendo wa kawaida tu,nilishawahi kua 328ci 2004 model na kwny mbio ilikua kawaida tu.
 
Natafuta VW Polo (old model) kwaajili ya drifting.

Kuna VW Polo ambazo ni RWD?

Japo naona drifting nyingi BMW is the beast.
Tafuta Cresta Gx 100 ambayo ni RWD, Mark 2 gr 100 zile balloon ila iwe RWD. Tairi ujitahidi kufunga za maana kama Bridgestone,Pirreli.
 
Kwenye burnouts... ule moshi ni tairi kuungua? Ama ni moshi wa injini? Ulaji wa mafuta unakuwaje?

I think, drifting ni burudani yenye gharama!
Ni Moshi wa tyre, ulaji wa mafuta ni kawaida inategemea na unavyo rev engine.

Burnouts ndio zoezi jepesi kwenye pikipiki au gari hii ni Sawa na hesabu za jumlisha au table ya 5 shuleni.
 
Back
Top Bottom