Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,442
Sikujua kuwa Drifting ni package pana kiasi hicho. Thanks mkuu for sharing.
Zanzibar huwa wanafanya drift competition mara kwa mara. Huwa naona kuna Ist mle.
mimi ndio mchezo wangu napenda sana japo bado sijawa konki natumia gari ya kawaida..ni automatic natamani sana kufanya kwa gari ya manual ila bado naendelea kupata expriance zaidi nitafika tuu.
Wacheki hao wakina Magesh Ndaba na Lefa Lentja.Nimecheki YouTube clips za Stacey. She rocks!!
Jamaa Wana balaa , halafu hiyo moja ipo stationary lakini inaonekena Kama ina burn tyre!!!!??? Nayo ni aina ya drifting?Wacheki hao wakina Magesh Ndaba na Lefa Lentja.
Hao wanaudhamini wa makampuni ndio jeuri Yao inapozidi.Jamaa Wana balaa , halafu hiyo moja ipo stationary lakini inaonekena Kama ina burn tyre!!!!??? Nayo ni aina ya drifting?
Wacheki hao wakina Magesh Ndaba na Lefa Lentja.
Magesh Ndaba yeye ni dereva wa daladala kule South zile Toyota Hiace Quantum.Magesh Ndaba... ana balaa kubwa huyu mkushi.
Brake unatumia kwenye burnouts kuzuia gari kisha unakanyaga mafuta kuzipa tyre mzunguko you zikitoa Moshi kutokana na kusugua ardhi bila kwenda.naomba kujua matumizi ya brake na handbrake kwenye drifting,
Brake unatumia kwenye burnouts kuzuia gari kisha unakanyaga mafuta kuzipa tyre mzunguko you zikitoa Moshi kutokana na kusugua ardhi bila kwenda.
Handbrake unatumia kwenye powerslide na donuts. Ila usitumie hizi cable hands brake labda uwe sehemu ya wazi na gari unaimudu. Sport car zinatumia hydrolic hand brake hizi hand brake za kawaida kuna hatari ya kunasa na wewe umekanyaga mafuta hapo gari itazunguka utashindwa kuidhibiti kama si mzoefu.
Inatumia handbrake ya cable, hizo hand brake za hydrolic wewe ndio utaiweka Kwa gharama zako.Gari kama cresta gx100 inatumia handbrake aina gani? Naitaka cresta kwaajili ya kujifunzia drifting