Wajuzi wa hili nawaomba mnijuze

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habarini wanandugu.
Ni juzi tu nimetoka kuvuta weed kwa mara ya kwanza, ilikua misokoto mitatu tu sasa ajabu leo nimeamka sijielewielewi kabisa yaani najihisi kama kufakufa.
Wadau naomba kwa yeyote ambaye anaujuzi na mambo haya anijuze hali hii inatokana na kuvuta hizo ndumu ama kuna kitu kingine nichukue more action msije kunipoteza bure.

Je kama inasababishwa na ganja hatua zipi nizifanye ili nirudie hali yangu ya kawaida?
ushauri wenu muhimu sana kwangu
 
Nenda kanywe maji mengi ya baridi Dawa ya fere maji mkuu
 
Mkuu mbona unaanza vilevi visivyo na maana kama kijana.

Acha muda upite ila achana na kuharibu mwili na mambo hayo mkuu
 
Mkuu mbona unaanza vilevi visivyo na maana kama kijana.

Acha muda upite ila achana na kuharibu mwili na mambo hayo mkuu
Nafahamu, daah kweli ujana uwendawazimu.
 
Kila kitu sio lazima uige waachie wenye vipaji vyao hizo mambo za weed
 
Hiyo itAkaa kichwani miaka 7 sahau kurudi kwenye hali yako ya kawaida...kisha jifunze si kila kitu ni cha kujaribu vingine ni bora ukaviacha vipite
 
Hiyo itAkaa kichwani miaka 7 sahau kurudi kwenye hali yako ya kawaida...kisha jifunze si kila kitu ni cha kujaribu vingine ni bora ukaviacha vipite
daah mdau myaka saba kwa hali hii nitafika kweli hapa najihisi kama nikienda kulala usiku sitaamka tena kwa hali ninayojisikia. Nipe ushauri nifanyeje nazunguka tu na chupa za maji ya kunywa hapa hata kazi haziendi.
 
Lamba sukari ya kutosha.kaa sehem yenye oxygen ya kutosha kaa kiutulivu kabisa halafu achana na simu muda huo.
 
Pole sana...

Dawa ya moto ni motot.. puliza tena na tena... ukiona huisikii tena ujue ushaizoea....

cc: mahondaw
 
daah mdau myaka saba kwa hali hii nitafika kweli hapa najihisi kama nikienda kulala usiku sitaamka tena kwa hali ninayojisikia. Nipe ushauri nifanyeje nazunguka tu na chupa za maji ya kunywa hapa hata kazi haziendi.
Kavute tena....vuta nyingi zaidi ya ile uliyovuta mwanzo
 
We una wenge sana. Punguza wenge, hivi ulitoa mbegu vizuri? Maana sometime ina ujinga ukivuta na mbegu inakufanya ujiskie kichwa kama kinataka kudata, kula jani bob hadi ng'ombe waone gere[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daah mdau myaka saba kwa hali hii nitafika kweli hapa najihisi kama nikienda kulala usiku sitaamka tena kwa hali ninayojisikia. Nipe ushauri nifanyeje nazunguka tu na chupa za maji ya kunywa hapa hata kazi haziendi.
Ukiona inakuzingua sana, kunywa maziwa. Tjen usirudie tena kuvuta vitu vyetu kanywe vi castle lite vyenu[emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…