ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,355
- 4,260
Habarini wanandugu.
Ni juzi tu nimetoka kuvuta weed kwa mara ya kwanza, ilikua misokoto mitatu tu sasa ajabu leo nimeamka sijielewielewi kabisa yaani najihisi kama kufakufa.
Wadau naomba kwa yeyote ambaye anaujuzi na mambo haya anijuze hali hii inatokana na kuvuta hizo ndumu ama kuna kitu kingine nichukue more action msije kunipoteza bure.
Je kama inasababishwa na ganja hatua zipi nizifanye ili nirudie hali yangu ya kawaida?
ushauri wenu muhimu sana kwangu