Dah....Pamoja na mfano, bado umepata panya 5 tu! Umenikumbusha enzi za hesabu za visoda
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi mkuuDah...watu 5 kati ya 4 hawajui hesabu za kugawanya 😀😀😀😀
7290Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
Sln.Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
810Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
Nilitaka kujibu ila baada ya jibu lako itabidi nitulie maana umeshapatia810
Mbao ×matundu
9×9=81
Tundu moja=panya 10(mzazi mmoja na watoto 9)
Matundu 81 =?
81×10=810
Jumla ya panya=810
Una akili sana wewe!nimetumia muda kuipata hiyo moja unayo add unaitoa.Nimekuja kuigundua na kucheka mwenyewe.Maths is about tricks!9+1=10
10×9= 90 : 90× 9×9=7290
Jumla ya panya no 7290