Kila panya ana Katoto kimoja... OverPanya 90 maana kila tundu lina panya 10 watoto 9 na panya mkubwa mmoja then times 9
9*10 =90
Sent using Jamii Forums mobile app
7290Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
Jibu sahihi ni hili 1458(9x9x9)x2=(81x9)x2
=(729)x2
=1458
:.jumla ya panya wote Katika matundu ya mbao wapi 1458.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaa!Ebwanaee,siku hizi watu hesabu zetu ni ina ngapi mfukoni ngapi benki .
Tukupe mji utupe jawabu mchezo lwishney ,chukua chato au koromije haya leta jawabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jumla kuna panya 6642Nina mbao 9 kila mbao inatundu 9 kila tundu lina panya 9 kila panya ana watoto 9 je idadi ya panya wote katika matundu ya mbao zote ni wangapi?
Daah!Nanikumbusha hesabu ya darasa la saba. Ndege ilitoka chato kwenda Darisalam kwa 1km/hr. Gari likatoka Koromije kwenda Darisalam kwa 3km/hr. Je wote watafika ikulu sangampi?
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali halijakamilika hiliNanikumbusha hesabu ya darasa la saba. Ndege ilitoka chato kwenda Darisalam kwa 1km/hr. Gari likatoka Koromije kwenda Darisalam kwa 3km/hr. Je wote watafika ikulu sangampi?
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Sent using Jamii Forums mobile app