makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Jibu sahihi ni panya 7290..MBAO ZIPO TISA : I-I-I-I-I-I-I-I-I = 9,
KILA MBAO @ I = INA MATUNDU TISA (O,O,O,O,O,O,O,O,O) = 9,
KILA TUNDU (O) = LINA PANYA TISA (P-P-P-P-P-P-P-P-P) = 9,
KILA PANYA (P) KWA KILA TUNDU MOJA = ANA WATOTO TISA (p-p-p-p-p-p-p-p-p) = 9,
=___________________________________ jibu.
nisaidieni kusolve aisee,, mimi na hesabu tulipishana hesabu kulia mimi kushoto......
Hii assumption yako si ya dunia hii..[emoji23] [emoji23] [emoji23]9+1=10
9Γ10= 90
9Γ90=810
810Γ9=7290
jibu ni panya 7290 sisi watu wa physics tunasema ASSUME PAKA HAMNA HAPO
Dah..mkuu hisabati ni maisha yetu ya kila Siku..... Haikwepeki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duuu! nini miaka mingi sana baada ya kuachana na elimu ya mahesabu. Bila shaka hapa tutatumia kanuni hii:
Mbao mara matundu mara panya mara watoto, kwa hiyo ni 9 mara 9 mara 9 mara 9.
Kwa hiyo kuna panya 6561
9!4!9+1=10
10Γ9= 90 : 90Γ 9Γ9=7290
Jumla ya panya no 7290