Wajuzi wa hisabati naombeni jawabu

Wajuzi wa hisabati naombeni jawabu

7290 ndo jumla ya panya ...make kila tundu kuna panya 90
 
Mbao moja
Tundu 1: 9 panya×9 =81watoto

81×tundu9=729×9 mbao=6561
Watoto wa panya jumla ni 6561
Panya wakubwa: 9mbao×9tundu×9panya=729
Jumla ya panya wote ni 7290

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom