Ivi sadhguru ni Atheist,Biddhist,Hindu,Spiritualist au nini?Sadhguru alisema ili kuamplifiy CHI.
Hivyo ndo maana anaweza kumpiga mtu one inch punch na kuangua huko tena anavaa na protector ili asiumie tumbo au kifua.
And that's why anakuwa anatoa sauti za paka nk kuamplifiy CHI.
According to sadhguru.
Sadhguru huwa simuelewi kama ana dini au kuamini chochote.
Spiritualist
Alikua anatumia style inaitwa "KATA' hii ni style ngumu sana kujifunza...na tunaiweza wachache.
Kajamaa kalikuwa kanajivimbisha haka
[emoji16][emoji16][emoji16]Alikua anatumia style inaitwa "KATA' hii ni style ngumu sana kujifunza...na tunaiweza wachache.
Bruce hakuwa ninjaNa wewe ni NINJA?
Mzee karate ni mapigano ya Japan Bruce Lee alikua anapigana kung FuAcha ukinga wewe kama hujui kaa kimya ,hakuna style kwenye karate inaitwa KATA,kata ni combinations kila mchezo wa karate iwe guju luu ,tai kondo n.k ipo
Ni sahihi bruce alikuwa anacheza kung fu na miondoko yake alikua anachanganya na jeet do,nachomwambia jamaa anasema KATA as a styleMzee karate ni mapigano ya Japan Bruce Lee alikua anapigana kung Fu
kwa madawa au?Kajamaa kalikuwa kanajivimbisha haka
kweli mbeba maono kajaSpiritualist
sawa kabisaAcha kudanganyika yule jamaa inasadikika chanzo kikubwa cha kifo chake ni uvimbe ambao ulijitengeneza kwenye ubongo wake kwa sababu alizidisha mazoezi kupita kiasi.Kitendo cha kukakamaa ni mbinu za kikarate kwenye kuutia ganzi mwili ili mwili uwe kama resistance kwa pigo kutoka kwa adui pia inasaidia kwenye kuachia effective pigo kwa adui.
Ule ni oungo tu,hakuna uhalisia wowoteWatalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu.
Yaani kajamaa unkuta kamekakamaa yaani.
Sahihi kabisaaaa KATA ni combinations pia kuna BUNKAI Kisha KUMITE..Acha ukinga wewe kama hujui kaa kimya ,hakuna style kwenye karate inaitwa KATA,kata ni combinations kila mchezo wa karate iwe guju luu ,tai kondo n.k ipo
Je, mapigano ya Thailand yanaitwaje? (rejea Ong bak)Mzee karate ni mapigano ya Japan Bruce Lee alikua anapigana kung Fu
Muay thaiJe mapigano ya Thailand yanaitwaje? (rejea Ong bak)
style za Dame hizoMuay thai