Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Sadhguru alisema ili kuamplifiy CHI.
Hivyo ndo maana anaweza kumpiga mtu one inch punch na kuangua huko tena anavaa na protector ili asiumie tumbo au kifua.

And that's why anakuwa anatoa sauti za paka nk kuamplifiy CHI.

According to sadhguru.
Ivi sadhguru ni Atheist,Biddhist,Hindu,Spiritualist au nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
images%20(3).jpg
 
Mzee karate ni mapigano ya Japan Bruce Lee alikua anapigana kung Fu
Ni sahihi bruce alikuwa anacheza kung fu na miondoko yake alikua anachanganya na jeet do,nachomwambia jamaa anasema KATA as a style
 
Acha kudanganyika yule jamaa inasadikika chanzo kikubwa cha kifo chake ni uvimbe ambao ulijitengeneza kwenye ubongo wake kwa sababu alizidisha mazoezi kupita kiasi.Kitendo cha kukakamaa ni mbinu za kikarate kwenye kuutia ganzi mwili ili mwili uwe kama resistance kwa pigo kutoka kwa adui pia inasaidia kwenye kuachia effective pigo kwa adui.
sawa kabisa
 
Watalaam wa karate naomba mnisaidie hili, Ni kwa sababu gani Bruce Lee akiwa anapigana alikuwa anajikaza Sana mwili na kutoa sauti Kama za paka, Mara apige kelele za ajabu.

Yaani kajamaa unkuta kamekakamaa yaani.
Ule ni oungo tu,hakuna uhalisia wowote
 
Acha ukinga wewe kama hujui kaa kimya ,hakuna style kwenye karate inaitwa KATA,kata ni combinations kila mchezo wa karate iwe guju luu ,tai kondo n.k ipo
Sahihi kabisaaaa KATA ni combinations pia kuna BUNKAI Kisha KUMITE..
 
Back
Top Bottom