Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Founder wa mchezo wa Jeet Kune Do ni mfalme wa mapigano Bruce Lee.
Jeet Kune Do ni mchanganyiko wa aina mbalimbali za michezo ya mapigano kama wing chung,wushu,taikwondo,karate,kick boxing,judo n.k,kama baadhi ya wapwa walivyoeleza.
na msingi mkuu wa kuanza kujifunza style ya Bruce Lee ni Wing Chung Kung fuu.

kuhusu kukaza mwili ni muhimu kwenye mapigano,japokuwa kwenye chalange halisi za mapigano yake akuonekana kukakamaa sana kama kwenye snema zake.
Kwa hapa Tanzania mtu alie imudu vema style ya Bruce Lee ya Jeet Kune Do na akafanya maajabu kama ya Bruce ni Abdalah Suleiman Mkamba wa Musoma pamoja na Sensei Yahaya wa Arusha R.I.P.
images%20(2).jpg
images%20(1).jpg
images%20(4).jpg
images%20(3).jpg

Picha ni Bruce Lee akiwa na mwalimu wake Sifu Ye Wen al maarufu mzee Yip Man(IP Man).
ilo gogo lenye mikono ni Wing Chung Dummy ambalo utumika sana kujenga msingi wa mapigano kwenye mchezo wa Wing Chung.
 
Hakuna cha uvimbe wala nini, yule na mwanae Brandon walipotezwa kwa sababu maalum

Mmoja ( Bruce) aliangamizwa kwa sababu za kimaslahi na mwingine kuepuka kuja kulipiza kisasi
Sasa unabishana na report za wapelelezi (CIA and FBI) unataka kutuambia aliuliwa na nani na kwa sababu gani?
 
Na weng huwa mnaamin ile ilikua anapiga kwel watu 100...ile ni showbizz...ni show tu
 
Now hao wote ni usaidizi wa camera tupu..

Bruce Lee alikuwa reality,,

Kuna picha moja ya chuck Norris na Bruce Lee lilikuwa ni pambano la kweli kabisa,,( way of dragon)

That time chuck noris alikuwa ni mkali wa karate marekani,, na Bruce alikuwa mkali wa kung fu China.

Wakati wa kurekodi kila mtu alitaka uhusika mkuu kwenye ile movie.

Ndy hapo inasemekana Bruce alitaka pambano la kwl kabisa,,

Ambalo walipigana kwenye mapango ya Russia..

Pambano hilo Chuck Norris alipigwa kweli na kuvunjwa mkono na mguu na Bruce Lee.

Baada ya hapo chuck Norris akakimbilia kwenye movie za kivita .

Bruce alikuwa ni mkali haswa wa kung fu,,na hata kifo chake ni njama za wachina wenyewe baada ya bruce kuonekana anawafundisha wazungu kung fu,,na mbinu za mapigano.

Hayo mapigano ya kwenye mapango ile Ni movie tu
 
nyinyi watu bana [emoji1787]
Usichokijuwa kuhusu Bruce Lee alikuwa anapenda sana sparing,,,

Bruce alikuwa really mkuu,,
Tafuta history ya Bruce Lee,,utajifunza kitu,,

Fuatilia ile movie the way of dragon,,utaelewa ninachoungumza.

Bruce le ndy mchina wa kwnz kufunguwa kung fu club marekani,,na hilo liliwaudhi sana wazee wa kichina ,,na kupelekea kifo chake.
Na kizazi chake.
 
Abdul alikua anafanya martial art? Hili nalo jipya
Duu,,,hivi unajuwa martial art ni nn?

Yule alikuwa ni mchezaji wa kikapu,,na pia mwanafunzi wa Bruce Lee,,kama hufahamu hilo..

Usibishe usichokijuwa mkuu..
Screenshot_2020-12-14-12-11-56.jpeg
Screenshot_2020-12-14-12-05-53.jpeg
Screenshot_2020-12-14-12-05-40.jpeg
 
Founder wa mchezo wa Jeet Kune Do ni mfalme wa mapigano Bruce Lee.
Jeet Kune Do ni mchanganyiko wa aina mbalimbali za michezo ya mapigano kama wing chung,wushu,taikwondo,karate,kick boxing,judo n.k,kama baadhi ya wapwa walivyoeleza.
na msingi mkuu wa kuanza kujifunza style ya Bruce Lee ni Wing Chung Kung fuu.

kuhusu kukaza mwili ni muhimu kwenye mapigano,japokuwa kwenye chalange halisi za mapigano yake akuonekana kukakamaa sana kama kwenye snema zake.
Kwa hapa Tanzania mtu alie imudu vema style ya Bruce Lee ya Jeet Kune Do na akafanya maajabu kama ya Bruce ni Abdalah Suleiman Mkamba wa Musoma pamoja na Sensei Yahaya wa Arusha R.I.P.View attachment 1649576View attachment 1649577View attachment 1649578View attachment 1649580
Picha ni Bruce Lee akiwa na mwalimu wake Sifu Ye Wen al maarufu mzee Yip Man(IP Man).
ilo gogo lenye mikono ni Wing Chung Dummy ambalo utumika sana kujenga msingi wa mapigano kwenye mchezo wa Wing Chung.
Uyo yahaya mwanafunzi wake ndo mwalimu wangu wa mchezo huo wa Jeet ku nedo...enzi hizooo
 
Ni aina ya ya kickboxing inaitwa Muay Thai
Mkuu kuna Muay Thai ambayo ilitokana na Muay Boran ambayo imegawanyika Kama Muay Chaiya, Muay Lopburi n.k Sasa Muay Thai ilizuiwa baadhi ya techniques zisitumike kwa ajili ya mashindano.

Ila Tony alianza kucheza MUAY BORAN pamoja na KRABI KARBONG michezo yenye asili yao kisha baadae ndiyo TAE KWON DO n.k
 
Hatari sana wanasema in most aggressive sport ..MMA inaingia wapi hv
 
Back
Top Bottom