NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hapana,kuhusu Bruce Lee hujui kitu,labda hujamfatilia kwa kina.Halafu wala hakuwa mkali kiviiile
acha wanaomjua watiririke hapa bwashee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana,kuhusu Bruce Lee hujui kitu,labda hujamfatilia kwa kina.Halafu wala hakuwa mkali kiviiile
Jamaa alikuwa anauwezo wa kupiga push ups kwa kidole kimoja we huoni kuwa ni moto wa kuotea mbalisawa kabisa
Na Tonny jaaMwingine ninaesikia anafanya uhalisia kwa kiasi kikubwa Ni Michael Jay White
Sasa unabishana na report za wapelelezi (CIA and FBI) unataka kutuambia aliuliwa na nani na kwa sababu gani?Hakuna cha uvimbe wala nini, yule na mwanae Brandon walipotezwa kwa sababu maalum
Mmoja ( Bruce) aliangamizwa kwa sababu za kimaslahi na mwingine kuepuka kuja kulipiza kisasi
Now hao wote ni usaidizi wa camera tupu..
Bruce Lee alikuwa reality,,
Kuna picha moja ya chuck Norris na Bruce Lee lilikuwa ni pambano la kweli kabisa,,( way of dragon)
That time chuck noris alikuwa ni mkali wa karate marekani,, na Bruce alikuwa mkali wa kung fu China.
Wakati wa kurekodi kila mtu alitaka uhusika mkuu kwenye ile movie.
Ndy hapo inasemekana Bruce alitaka pambano la kwl kabisa,,
Ambalo walipigana kwenye mapango ya Russia..
Pambano hilo Chuck Norris alipigwa kweli na kuvunjwa mkono na mguu na Bruce Lee.
Baada ya hapo chuck Norris akakimbilia kwenye movie za kivita .
Bruce alikuwa ni mkali haswa wa kung fu,,na hata kifo chake ni njama za wachina wenyewe baada ya bruce kuonekana anawafundisha wazungu kung fu,,na mbinu za mapigano.
Mkuu mapigano Yale ni really,,, ingia Google tafuta Bruce Lee na chuck Norris real fight.. UtaonaHayo mapigano ya kwenye mapango ile Ni movie tu
Usichokijuwa kuhusu Bruce Lee alikuwa anapenda sana sparing,,,nyinyi watu bana [emoji1787]
Duu,,,hivi unajuwa martial art ni nn?Abdul alikua anafanya martial art? Hili nalo jipya
Nakukatalia halikuwa really. Clip ninayo kwenye sim hii hiiMkuu mapigano Yale ni really,,, ingia Google tafuta Bruce Lee na chuck Norris real fight.. UtaonaView attachment 1649691
Unakataa kwann?au sababu ni movie?Nakukatalia halikuwa really. Clip ninayo kwenye sim hii hii
Uyo yahaya mwanafunzi wake ndo mwalimu wangu wa mchezo huo wa Jeet ku nedo...enzi hizoooFounder wa mchezo wa Jeet Kune Do ni mfalme wa mapigano Bruce Lee.
Jeet Kune Do ni mchanganyiko wa aina mbalimbali za michezo ya mapigano kama wing chung,wushu,taikwondo,karate,kick boxing,judo n.k,kama baadhi ya wapwa walivyoeleza.
na msingi mkuu wa kuanza kujifunza style ya Bruce Lee ni Wing Chung Kung fuu.
kuhusu kukaza mwili ni muhimu kwenye mapigano,japokuwa kwenye chalange halisi za mapigano yake akuonekana kukakamaa sana kama kwenye snema zake.
Kwa hapa Tanzania mtu alie imudu vema style ya Bruce Lee ya Jeet Kune Do na akafanya maajabu kama ya Bruce ni Abdalah Suleiman Mkamba wa Musoma pamoja na Sensei Yahaya wa Arusha R.I.P.View attachment 1649576View attachment 1649577View attachment 1649578View attachment 1649580
Picha ni Bruce Lee akiwa na mwalimu wake Sifu Ye Wen al maarufu mzee Yip Man(IP Man).
ilo gogo lenye mikono ni Wing Chung Dummy ambalo utumika sana kujenga msingi wa mapigano kwenye mchezo wa Wing Chung.
Ni aina ya ya kickboxing inaitwa Muay ThaiJe mapigano ya Thailand yanaitwaje? (rejea Ong bak)
Mkuu kuna Muay Thai ambayo ilitokana na Muay Boran ambayo imegawanyika Kama Muay Chaiya, Muay Lopburi n.k Sasa Muay Thai ilizuiwa baadhi ya techniques zisitumike kwa ajili ya mashindano.Ni aina ya ya kickboxing inaitwa Muay Thai
Hatari sana wanasema in most aggressive sport ..MMA inaingia wapi hvMkuu kuna Muay Thai ambayo ilitokana na Muay Boran ambayo imegawanyika Kama Muay Chaiya, Muay Lopburi n.k Sasa Muay Thai ilizuiwa baadhi ya techniques zisitumike kwa ajili ya mashindano.
Ila Tony alianza kucheza MUAY BORAN pamoja na KRABI KARBONG michezo yenye asili yao kisha baadae ndiyo TAE KWON DO n.k
tena sio moto kidogo amna atakae vunja record yakeJamaa alikuwa anauwezo wa kupiga push ups kwa kidole kimoja we huoni kuwa ni moto wa kuotea mbali
Maana yake mi Mixed Martial arts....sanaa za mapigano mchanganyikoHatari sana wanasema in most aggressive sport ..MMA inaingia wapi hv
Inaitwa amahamba gahaiteStyle ya jackie chan inaitwaje?
Ulimuona live akifanya hivyo au ni movie tu?