Wajuzi wa karate, ni kwanini Bruce Lee alikuwa anajikaza sana wakati wa kupigana?

Mi nataka kukata mwili ila kupitia michezo ya KarateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bruce Lee wa the REAL THING. There were no LIES in his ability to perform. So many people who knew Bruce Lee spoke about this fact including Kareem Abdul Jabber

Mwingine ninaesikia anafanya uhalisia kwa kiasi kikubwa Ni Michael Jay White.
 
Bruc Lee style yake kubwa ilikua ni shot kan kwa wale wajuzi wa Mambo Kama Mimi na ndiyo style aliyo ibuni yeye mwanyewe kwa kuunganisha mapigano ya kick boxer na style combination za kichina
 
Asante Fundi....kiai kwa ajili ya kuleta mzuka na kumtisha mpinzani
 
Bruc Lee style yake kubwa ilikua ni shot kan kwa wale wajuzi wa Mambo Kama Mimi na ndiyo style aliyo ibuni yeye mwanyewe kwa kuunganisha mapigano ya kick boxer na style combination za kichina
Big No....bluce Lee alicombine michezo ya traditional Chinese boxing,shoto kan,,kungfu,,muai Thai,,wushu.. kutengeneza mchezo mpya unaoitwa Jeet ku nedo
 
Hakuna cha uvimbe wala nini, yule na mwanae Brandon walipotezwa kwa sababu maalum

Mmoja ( Bruce) aliangamizwa kwa sababu za kimaslahi na mwingine kuepuka kuja kulipiza kisasi
 
Hapana mkuu unkosea sana wana karate ,kiai ni kwa ajili ya kukufundisha wewe kutumia pumzi yako vizuri ili uweze ku block na kutoa shambulio effectively yaani una block kwa nguvu na unapiga kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…