Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

Mzungu wa madawa

Senior Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
120
Reaction score
282
Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
 
Ponjoro ni neno la kihindi linamaanisha "mswahili,mwafrika au mtu mweusi. Mara nyingi hutumiwa na Wahindi wenye kasumba ya ubaguzi.
 
Back
Top Bottom