M Mzungu wa madawa Senior Member Joined Aug 16, 2024 Posts 120 Reaction score 282 Jun 11, 2025 #1 Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
Expensive life JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 4,095 Reaction score 13,016 Jun 11, 2025 #2 Maana yake kiinglishi ni No reform no election.
Siri ya sifuri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 2,619 Reaction score 2,272 Jun 11, 2025 #3 Mzungu wa madawa said: Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani. Click to expand... Ponjoro ni neno la kihindi linamaanisha "mswahili,mwafrika au mtu mweusi. Mara nyingi hutumiwa na Wahindi wenye kasumba ya ubaguzi.
Mzungu wa madawa said: Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani. Click to expand... Ponjoro ni neno la kihindi linamaanisha "mswahili,mwafrika au mtu mweusi. Mara nyingi hutumiwa na Wahindi wenye kasumba ya ubaguzi.