Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwahiyo kwasababu Mwananchi wanaandika kiingereza kibovu ndo sababu ya kuwatetea Daily news wakiandika kiingereza kibovu!?,., Kwanini usikubali tu kuwa ni tatizo!?,kutakuwa na tofauti gani ya mwandishi msomi na WA kuungaunga!?, unategemea waandishi kama hao wapande ngazi/wapige hatua na kwenda kwenye kampuni za kimataifa!?, maana wanaonekana na kupendekezwa kutokana na uandishi wao. Acheni kutetea ujinga.Unaita wenzako wajinga? gazeti la Mwananchi hasa upande wa mtandao linasomwa na Africa Mashariki yote na dunia hebu fungua tu sehemu yeyote usome hadi mwisho utagundua makosa yapo.
Message sent acha kuita wenzako wajinga.
Acha Kuzuga ukweli ni kwamba hujui Kiingereza sawa?What is English?
Fala WeweAcha Kuzuga ukweli ni kwamba hujui Kiingereza sawa?
Mwandishi wa habari wa gazeti la kiingereza anatakiwa awe mtaalamu wa kiingereza. Hakuna excuse hapo, ndo maana wanalipwa vizuri. Hilo gazeti linasomwa duniani kote sio hapa tu. Sielewi kwanini mnatetea ujinga. Ni aibu kubwa sana gazeti kama Daily news kukosea grammar hasa kwenye heading.Hapo hakuna makosa yoyote!! Kuna wataalamu wa kiingereza na waandishi wa habari ni vitu viwili tofauti.
Unajisikiaje na Ukubwa ( Ukongwe ) wote huo Ulionao huku ukijifanya Mjanja ( Mtoto wa Mjini ) halafu hujui Kiingereza?Fala Wewe
Najisiki poa ( vizuri) kutokujua kiingereza ( English) Je Umefurahi ( umepatwa na furaha)? ( alama ya kuuliza) kufahamu( kujua) kwamba Mimi ( Likud) sijui( sifahamu) kiingereza( English?)Unajisikiaje na Ukubwa ( Ukongwe ) wote huo Ulionao huku ukijifanya Mjanja ( Mtoto wa Mjini ) halafu hujui Kiingereza?
Issue ya space ni rahisi sana. Unapunguza tu size ya text. Simple!Lakini hizo alama ' ' labda kuna jambo amelikusudia. Pia ukisema uweke the inafanya space iwe ndogo
Hatutetei ujinga sema we ndo mjinga!! Nionyeshe makosa yalipo hapo kwenye gazati?? Shida mmesomea shule za kukalili.Mwandishi wa habari wa gazeti la kiingereza anatakiwa awe mtaalamu wa kiingereza. Hakuna excuse hapo, ndo maana wanalipwa vizuri. Hilo gazeti linasomwa duniani kote sio hapa tu. Sielewi kwanini mnatetea ujinga. Ni aibu kubwa sana gazeti kama Daily news kukosea grammar hasa kwenye heading.
Msiteree ujinga, ukianzisha gazeti la kiingereza hakikisha una watu wanaojua kiingereza. Hilo gazeti linategemewa kusomwa na mabalozi na foreigners tofauti tofauti, huwezi kukuta gazeti la Kenya linaandika upuuzi kama huo. Hiyo ni mistake kubwa sana. Na wote wanaotetea huo upuuzi watakuwa walawale English ya kuungaunga, kwa kuongea hivyo ni sawa tu ilimradi ujumbe ufike ila kuandika kwenye gazeti kubwa linalosomwa Africa mashariki na duniani kote ni kosa kubwa, kama ni gazeti langu namfukuza au kumsimamisha kazi mhariri. "No one is above law",= "No one is above the law". Tusitetee ujinga, ni kosa kubwa sana.
Pole sana naona nimekushika pabaya.Najisiki poa ( vizuri) kutokujua kiingereza ( English) Je Umefurahi ( umepatwa na furaha)? ( alama ya kuuliza) kufahamu( kujua) kwamba Mimi ( Likud) sijui( sifahamu) kiingereza( English?)
Nimekujibu kwa mwandiko wako ujione ulivyo mweupe hata kwenye kiswahili tu.
"No one is above law",sio sawa grammatically. Kama hujui huwezi kuelewa. Sahihi ni "No one is above the law". Kamuulize mtu yeyote au ingia hata google.Hatutetei ujinga sema we ndo mjinga!! Nionyeshe makosa yalipo hapo kwenye gazati?? Shida mmesomea shule za kukalili.
Siyo kweli kabla ya print huwa Kuna proof reader kazi yake ilikuwa nini mpaka hili linatokea?hayo ni makosa ya kiuchapaji ambayo yanaweza kutokea kwa lugha yoyote ile.
Ila kwasababu ww ni mtumwa wa kizungu ndio maana umeona kama vile kosa la mauaji[emoji1787]
Ngudu Luguru umeamua kuibatiza.Mi mwenzio nimesoma Olympio, kiingereza nimeanza nacho chekechea. Usifikiri Mimi ni kama wewe ulie soma Gunduruguru primary school wilayani kwimba
Unatumia "the" ukiwa tayari unacho ulichokilenga kama hauna ulichokilenga unatumia "law".Hakuna kitu kama hiki, rudi shule. Ingia google tu. Hapa ishu sio Above law, ishu ni huo msemo wa kiingereza. Ni "No one is above the law", si vinginevyo. Hiyo ni grammar, huandiki tu kama vile unapiga story mtaani. Kwenye kuongea sawa unaeleweka tu kwamba hujui, ila kuandika gazeti kubwa kama daily news, BIG NO.
SawaUnatumia "the" ukiwa tayari unacho ulichokilenga kama hauna ulichokilenga unatumia "law".
Sikulazimishi kukubaliana na mimi kwani tayari umeonesha dharau kwenye jambo tusilo bishana bali kueleweshana.
Kwenye mjadala ukimuambia mwenzako mjinga au chizi kutokana na wazo lake ukiamini wewe ndiye unayejua zaidi kuliko wote kwenye kundi, basi haufai kuwemo kundini.