Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Mmh hapana sio kweli.. Atapata zile za pale mlimani city..nijuavyo kwa watoto wa mjini,5.5m unapata ist kali sana,nzima kabisa tena,huenda namba D...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh hapana sio kweli.. Atapata zile za pale mlimani city..nijuavyo kwa watoto wa mjini,5.5m unapata ist kali sana,nzima kabisa tena,huenda namba D...
Chukua fielderNipe ramani Mzee baba
Zipo kaka ila magumashi ya kutosha sana.. Na ukiipata kwa bei hiyo basi ni number C iliyochokaAchana na IST hizo zipo kwa milioni 8 kuendelea tena akikwambia namba D uende na 10 M
hatuandikii mate Dar nzima hakuna IST ya 5.5M mwambie aiweke hapa ubaoni hata aweke wa 6M tu tutaamini sasa Dar Madalali wamekuwa wema
wenzako wanaichukua hiyo Gari yako wanaiweka sokoni kwa 6.5M
profesawaaganojipya
p/se kwa kumsaidia weka IST ya 6M na particular zake hapa
Binafsi nikirudi TOYOTA ndio gari simple ningependa kumilikiNashukuru mkuu kwa mawazo chanya
Sio kwa sasa, sasahivi zimekua hotcakenijuavyo kwa watoto wa mjini,5.5m unapata ist kali sana,nzima kabisa tena,huenda namba D...
Bado iko njema. Tatizo ni kwenye namba. Kila utakapopita nalo njiani,unakutana na D tu unajidharau hata wewe,mwisho unaweza ukaamua kuligongesha gongesha tu.Wakuu kwema?
Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti yangu haitoshi na kila mara nikijaribu kufanya saving matatizo ya kifamilia hujitokeza najikuta napaswa kuyatatua
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya suala hili,maana sina sina ujuzi wa Magari zaidi ya friendly use tuu, nini maoni yenu kuhusu hili gari wakuu, je spare zinapatikana? Gharama zake zikoje?
Gari imeshatembea 150,000km mpaka sasa, litre moja ya mafuta ni 13km ....
Wasukuma kwa kuangalia number Wkt wa kununua gari ndio wenyewe.Bado iko njema. Tatizo ni kwenye namba. Kila utakapopita nalo njiani,unakutana na D tu unajidharau hata wewe,mwisho unaweza ukaamua kuligongesha gongesha tu.
Ushauri wangu,weka malengo si lazima uwe na gari mwaka huu. Endelea kujinyima ongezea hela,utadokoa hata IST toleo la namba za wakati
[emoji23][emoji23] ni jamii ya Probox sura mbaya lakini ni gari ya kazi popote unakatiza tuGari hio hua ina sura mbaya lkn ichukue tu
😂😂😂 nakubali mkuu.[emoji23][emoji23] ni jamii ya Probox sura mbaya lakini ni gari ya kazi popote unakatiza tu
Matatizo yamekua mengi mno kila nikiweka akiba mambo ya familia yanazuka, hapa kuna mdogo wangu wa kike mwanae kaungua moto kalazwa muhimbili pale tunasubiri Bill,Bado iko njema. Tatizo ni kwenye namba. Kila utakapopita nalo njiani,unakutana na D tu unajidharau hata wewe,mwisho unaweza ukaamua kuligongesha gongesha tu.
Ushauri wangu,weka malengo si lazima uwe na gari mwaka huu. Endelea kujinyima ongezea hela,utadokoa hata IST toleo la namba za wakati
Basi sawa,mwambie karibu kwny ulimwengu wa Swala,Phoenix,Avon.Sura si muhimu sana, kuna rafiki yangu nilimwambia siku moja napenda Spacio akaniambia ni gari za kike afu sura yake ipo kama panya lakini mpk leo hana gari
Mkuu chukua hiyo gari km wanakupa kwa 5.5M usidanganywe na IST za 6M hakunaNipe ramani Mzee baba
[emoji23][emoji23][emoji23]Sura si muhimu sana, kuna rafiki yangu nilimwambia siku moja napenda Spacio akaniambia ni gari za kike afu sura yake ipo kama panya lakini mpk leo hana gari
Ok basi sawa mkuu. Anzia na hilo basi,kama alikuwa anakuwa anatumia mhindi,linaweza likawa bado liko oderMatatizo yamekua mengi mno kila nikiweka akiba mambo ya familia yanazuka, hapa kuna mdogo wangu wa kike mwanae kaungua moto kalazwa muhimbili pale tunasubiri Bill,
Iko wapi ya kuuza 7m?. Mwambie tu aidokoe hiyo azugie zugie mpaka mwakani au atakapokaa sawaMkuu chukua hiyo gari km wanakupa kwa 5.5M usidanganywe na IST za 6M hakuna
kamatia ulichonacho mkononi ni gari nzuri sema ni ndogo jamii ya Corolla lkn mafuta inatumia vizuri
mwaka kesho unauza hata 7M ndipo upate IST
Yaani wewe mpaka leo unababaishwa na namba?!! Hivi hujui kuwa kuna gari ya 2004 ina namba D na ya 2010 ina namba C?Bado iko njema. Tatizo ni kwenye namba. Kila utakapopita nalo njiani,unakutana na D tu unajidharau hata wewe,mwisho unaweza ukaamua kuligongesha gongesha tu.
Ushauri wangu,weka malengo si lazima uwe na gari mwaka huu. Endelea kujinyima ongezea hela,utadokoa hata IST toleo la namba za wakati
Sawa. Kwa sasa namba inabamba kuliko hizo porojo. Wewe unaweza ukawa na Carina ya mwaka 2010 ina yako hiyo ya C,na mimi nikawa na Carina ya mwaka 2004 yenye namba D. Zote zina muonekano sawa,uziweke pamoja zote unaziuza milioni 8. Mjinga gani atachukua C kwanza kabla ya D?Yaani wewe mpaka leo unababaishwa na namba?!! Hivi hujui kuwa kuna gari ya 2004 ina namba D na ya 2010 ina namba C?