Wajuzi wa Magari ushauri wenu ni muhimu, nataka kuchukua Toyota Fielder

Wajuzi wa Magari ushauri wenu ni muhimu, nataka kuchukua Toyota Fielder

Sawa. Kwa sasa namba inabamba kuliko hizo porojo. Wewe unaweza ukawa na Carina ya mwaka 2010 ina yako hiyo ya C,na mimi nikawa na Carina ya mwaka 2004 yenye namba D. Zote zina muonekano sawa,uziweke pamoja zote unaziuza milioni 8. Mjinga gani atachukua C kwanza kabla ya D?
Mjinga atachukua namba D bila kuangalia C ina hali gani. Ila mwenye akili hababishwi na namba.
 
Iko wapi ya kuuza 7m?. Mwambie tu aidokoe hiyo azugie zugie mpaka mwakani au atakapokaa sawa
zipo nyingi ni wewe tu ingia hapa zoomtanzania utakuta mawasiliano ya simu ya muuzaji

mfano km hii ya 5M ukigusa wamekupoteza maana hapo hata Plate Number bado Mkuu bora ubaki na hiyo iliyoikamata ni bora isije kukuponyoka
1621515340526.png
1621515340526.png
 
Chukua gari hiyo mkuu, ukighairi nipm itanifaa kwa shughuli zangu mjini hapa. Sisi wengine kwa sasa tunafocus gari za kazi kwanza, luxury baadae kidogo.
 
Wakuu kwema?
Nimejichangachanga nimepata 5.5m kuna mhindi nilisoma nae chuo anataka kuniuzia Toyota fielder ambayo ni plate number A, plan yangu nilitaka hasa Ist, Sienta au Rav lakini bajeti yangu haitoshi na kila mara nikijaribu kufanya saving matatizo ya kifamilia hujitokeza najikuta napaswa kuyatatua

Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya suala hili,maana sina sina ujuzi wa Magari zaidi ya friendly use tuu, nini maoni yenu kuhusu hili gari wakuu, je spare zinapatikana? Gharama zake zikoje?
Gari imeshatembea 150,000km mpaka sasa, litre moja ya mafuta ni 13km ....
Mazee nimefanikiwa kuipata ile gari, kikubwa zaidi Fundi alishauri tumwage oil ili tuweke oil upya,
 
Matumizi hasa ni construction site mitaani hasa Dar es salaam, location gari ipo Upanga,Muhindi yupo vizuri hana njaa
chukua hiyo wahindi hawanaga misele sana zaidi ya kuzunguka kariakoo upanga baaasi km wabongo mara aende Musoma apitie Bukoba Mpaka Nairobi via Kampala ili mradi tu amekula trip na kusanya sanya, trip zote hizo ni hela za abiria!

kutegesha kwa sanaaaa chalinze
 
Back
Top Bottom