Wajuzi wa Magari ushauri wenu ni muhimu, nataka kuchukua Toyota Fielder

Mjinga atachukua namba D bila kuangalia C ina hali gani. Ila mwenye akili hababishwi na namba.
 
Iko wapi ya kuuza 7m?. Mwambie tu aidokoe hiyo azugie zugie mpaka mwakani au atakapokaa sawa
zipo nyingi ni wewe tu ingia hapa zoomtanzania utakuta mawasiliano ya simu ya muuzaji

mfano km hii ya 5M ukigusa wamekupoteza maana hapo hata Plate Number bado Mkuu bora ubaki na hiyo iliyoikamata ni bora isije kukuponyoka
 
Chukua gari hiyo mkuu, ukighairi nipm itanifaa kwa shughuli zangu mjini hapa. Sisi wengine kwa sasa tunafocus gari za kazi kwanza, luxury baadae kidogo.
 
Mazee nimefanikiwa kuipata ile gari, kikubwa zaidi Fundi alishauri tumwage oil ili tuweke oil upya,
 
Matumizi hasa ni construction site mitaani hasa Dar es salaam, location gari ipo Upanga,Muhindi yupo vizuri hana njaa
chukua hiyo wahindi hawanaga misele sana zaidi ya kuzunguka kariakoo upanga baaasi km wabongo mara aende Musoma apitie Bukoba Mpaka Nairobi via Kampala ili mradi tu amekula trip na kusanya sanya, trip zote hizo ni hela za abiria!

kutegesha kwa sanaaaa chalinze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…