1. Mara kadhaa ameshaanguka tu hadharani.
2. Kusahau sahau anachotaka kusema.
3. Kumtukana, "What a stupid son of a bitch", mwandishi aliyemuuliza swali khhusu inflation.....huku kipaza sauti kikuwa on (alisahau kukizima).
4. Kupotea njia...n.k
Sasa nachukulia ukubwa wa USA, kiranja wa dunia, mwenye mambo kibaaao ya kuyashughulikia duniani hapa wakati wote na siku zote; inakuaje wawe na raisi asiye na uhakika namna hii?!! Akijisahau aka akabonyeza kitufe cha kulipua nuclear je?
Ni kuheshimu demokrasia tu au ana kitu 'special' huyu Biden wanachokijua wenyewe?!!
Nasikia amesema atagombea tena...🙄🙄