Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Bongo mtu akijenga kidogo naye anageuka kuwa fundi, anajifanya kuwa anajua mambo yote yahusuyo ujenziUmesema vizuri kikubwa hapo niuhakika wahuyo fundi nakazi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bongo mtu akijenga kidogo naye anageuka kuwa fundi, anajifanya kuwa anajua mambo yote yahusuyo ujenziUmesema vizuri kikubwa hapo niuhakika wahuyo fundi nakazi yake
Ndio maana uchangiaji wako uko vizuri.Mkuu nipo ndani yafani hii
Kweli mkuu yaani sasa hivi kwakuwa watu wanatanguliza ujuaji kuliko ujuzi wenyewe na hali zetu za maisha hasa mafundi kazi zimepungua kwahiyo unakuta mtu hela ya ufundi anapanga yeye makadirio ya vifaa anapanga yeye kisa tu amesikia kwamtu alivyojenga, kikubwa niwambie ujanja mwingi mbele giza, tafsiri ya unafuu kwenye ujenzi sio kila mtu anaweza kuilezea ni pana.Bongo mtu akijenga kidogo naye anageuka kuwa fundi, anajifanya kuwa anajua mambo yote yahusuyo ujenzi
Wengi wanalia, nyufa kibaoKweli mkuu yani sasa hivi kwakuwa watu wanatanguliza ujuaji kuliko ujuzi wenyewe na hali zetu zamaisha hasa mafundi kazi zimepungua kwahiyo unakuta mtu hela yaufundi anapanga yy makadirio ya vifaa anapanga yy kisa tu amesikia kwamtu alivojenga kikubwa niwambie ujanja mwingi mbele giza tafsiri yaunafuu kwenye ujenzi siokila mtu anaweza kuilezea nipana
Kasema gharama ya msingi tu, wewe uaweka sijui mpaka lintel? Kusoma hujui? Kwa nini usisome tena na Tena alafu ndio u-comment?Hebu weka vizuri taarifa, hiyo 1.8m ni msingi au nyumba kujengwa mpaka lintel?
Materials yote ushanunua? Sand, Aggregates, blocks, Cement,
Tupatie taarifa sahihi ili tukusaidie ikibidi fundi nae tukupatie maana unaweza kulalamika hiyo 1.8m wakati unajenga ghorofa au eneo lako lina bonde n.k
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Ukipita mtaani utaona nyumba inang'a baada ya mwaka nyufa kibao ukweli ndo huo, nyumba nyingi nivmbovu lakini kwakuwa wenye nyumba wengi nivwasomi nawanajua watayaona mbele.Wengi wanali, nyufa kibao
Hivi labour charge inapatikana vipi!? Si unaangalia kwanza gharama za material alafu mnapigia asilimia tatu ya gharama za material!?Kweli mkuu yani sasa hivi kwakuwa watu wanatanguliza ujuaji kuliko ujuzi wenyewe na hali zetu zamaisha hasa mafundi kazi zimepungua kwahiyo unakuta mtu hela yaufundi anapanga yy makadirio ya vifaa anapanga yy kisa tu amesikia kwamtu alivojenga kikubwa niwambie ujanja mwingi mbele giza tafsiri yaunafuu kwenye ujenzi siokila mtu anaweza kuilezea nipana
Engineer kwahiyo unaweza kupatana kazi na mtu nje ya sait?kama nyumba haitakula tofali nyingi basi gharama ishuke angalau 1.2 had 1.5m, sisi tumejiajiri huko baada ya Mtaa kuwa Magumu Ma Engineer tunasimamia hizo kazi siku hizi, tumia wataalamu Mkuu.
Kwenye msingi Kuna lenta(lintel)?? Alfu hiyo prince beam ndio nini wewe??Jihadhari udipotoshwe na watu humu, bei hiyo ikiwa ni fundi mzuri mchukue lakini afanye haya;
1. Kwenye msingi amimine ka zege angalau inch 2
Ndipo aanze kujenga tofali
2. Pili kiuno cha msingibakuwekee lenta/prince beam na amimine zege ya sakafu/floor
Bei sio kubwa kwa fundi mzuri.
Usikimbilie bei nafuu halafu nyumba ije kupasuka utaingia gharama kubwa.
Wabongo wanapenda vitu vizuri kwa macho visivyo na ubora chukua tahadhari
Fundi anahusikaNyumba kuchanika nyufa nk..hakuchangiwi na fundi bali matirio zilizotumika wakati wa ujenzi.
Kufika site muhimuEngineer kwahiyo unaweza kupatana kazi na mtu nje yasait?
Mkuu kwa bongo ukisema hivo itakuwa ngumu mazingira tu yanatumika maana mfano ukipewa kazi ya mifuko miwili kwenye asilimia fundi hatakubaliHivi labour charge inapatikana vp!? Si unaangalia kwanza gharama za material alafu mnapigia asilimia tatu ya gharama za material!?
Unaongea as if mafundi ni wema sana. Hela ya ufundi lazima apange anaejenga kwasababu ya uwezo wake. Hawezi kukulipa nje ya uwezo wake.Kweli mkuu yani sasa hivi kwakuwa watu wanatanguliza ujuaji kuliko ujuzi wenyewe na hali zetu zamaisha hasa mafundi kazi zimepungua kwahiyo unakuta mtu hela yaufundi anapanga yy makadirio ya vifaa anapanga yy kisa tu amesikia kwamtu alivojenga kikubwa niwambie ujanja mwingi mbele giza tafsiri yaunafuu kwenye ujenzi siokila mtu anaweza kuilezea nipana
Sasa mbona unapunguza bei ya fundi wakati hujafika saiti mkuu wangu, kuna watu humu wakisoma sehemu wanaenda kufanya kama yalivyo.kufika site muhimu
Muandiko wako unaonyesha ukubwa au udogo wa elimu yako.Sasa mbona unapunguza bei yafundi wakati hujafika saiti mkuu wangu kunawatu humu wakisoma sehemu wanaenda kufanya kama yalivo
Mkuu mimi naongea ninayokutana nayo ndio maana najaribu kusema hapa naamini wapo watanufaikaUnaongea as if mafundi ni wema sana. Hela ya ufundi lazima apange anaejenga kwasababu ya uwezo wake. Hawezi kukulipa nje ya uwezo wake.
Uko sahihi umeenda mbali, mimi ni lasaba mkuu, swala la elimu linaingiaje mkuu lakini nina hakika kuna watu humu wana elimu pengine zaidi yako wanasoma kwashida mwisho wanaelewa kusudio langu.Muandiko wako unaonyesha ukubwa au udogo wa elimu yako.
SIKUJUI, ila nna uhakika wewe sio graduate.