Inawezekana swali liko hapo ila ndo sijaelewa, unaweza ku-edit ili wajuvi watiririke kwa faida ya wengi?Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano
Hizi tatu zmepanda na zitashuka.Mimi si mshabiki wa mno
Bali nimetokea kufanya tathmini kiduchu ila hii inanichanganya.
Hizi timu zinazopambania kuepuka kushuka daraja ligi kuu ya uingereza. Zinapigapiganaje hapa. Kati aya hizi nne au tano.
View attachment 2975498
Ni kama hizo
Nahisi sio kweli kuwa zitashuka. Wewe ungekuwa kocha wa Tim inayoshuka dakika hizi ungefanyeje.Hizi tatu zmepanda na zitashuka.
Hawa watashuka hakuna namna.Nahisi sio kweli kuwa zitashuka. Wewe ungekuwa kocha wa Tim inayoshuka dakika hizi ungefanyeje.
Maana kuna game za kufa na kuponam mfano Bailey akipambana live or die atapita?
Mfia timuMbona hueleweki?
Kwa kiufupi zinazoshuka ni timu tatu kutoka chini
18.
19.
20.
Hapo hatuangalii umaarufu wa kocha au wa timu
Vuna point nyingi uwezavyo haijalishi umecheza vizuri au vibaya
Ila kwa historia ya Epl timu ikifikisha points 40 haishuki daraja/ safe points
Sasa wewe unasema company mpambanaji amepambana nini mbona yupo chini?
Neno utafiti limetumika vibaya na mtafitišMbona hueleweki?