Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
....Quality imeamua mechi.
6 clear chances no goal, 1 chance goal.
Na yote kwa yote, BAHATI
Upo sahihi mkuuQuality imeamua mechi.
6 clear chances no goal, 1 chance goal.
Na yote kwa yote, BAHATI
Mbona umeandika kishabiki sana na sio kitaalamu?Mdomo kaka,hawa makolo walishadadia mambo ya mamelodi kuliko kujiandaa kuukabili mchezo wao na al ahly,kingine hizi mechi za mtoano watu timu haziangalii takwimu Bali wanaangalia ushindi wa magoli.
Hizo takwimu za umiliki za Simba usifikirie kuziona Cairo maana mametumia nguvu nyingi Sana lakn wamepigwa kwahy automatically miili imechoka na watawenda Cairo kukamilisha ratiba tu.
Kama kuna Simba nyingine itakayo enda Cairo sawa ila kama ni hii hawawezi kupindua hata carpetMbona umeandika kishabiki sana na sio kitaalamu?
Nilitegemea ungetoa sababu za kiufundi zaidi ili kuelimishana lakini umeanza mdomo sijui wanaenda kukamilisha ratiba kumbuka meza huwa zinapinduliwa kama timu itacheza vizuri zaidi
Wachezaji kukosa umakini wa kufungaWadau wa Soka na wapenzi wa SIMBA poleni sana kwa kilichowapata jana.
Nimeona Takwimu za Mchezo wa Jana SIMBA imeongoza sehemu kubwa LAKINI ikafungwa.
JE nini SABABU za SIMBA KUFUNGWA?
Inawezekana ikawasaidia Mechi yao huko MISRI.
Kwenye mpira hakuna bahati. Mwanzo umepatia uliposema quality imeamua hapo usizungumzie bahati kabisaQuality imeamua mechi.
6 clear chances no goal, 1 chance goal.
Na yote kwa yote, BAHATI
Kiongozi mbona una maneno makali sana.Kama kuna Simba nyingine itakayo enda Cairo sawa ila kama ni hii hawawezi kupindua hata carpet
Ngoja tuwaone UTOPOLO ambao hawakukomaa na mambo ya SIMBA wakafocus kwenye mechi yaoMdomo kaka,hawa makolo walishadadia mambo ya mamelodi kuliko kujiandaa kuukabili mchezo wao na al ahly,kingine hizi mechi za mtoano watu timu haziangalii takwimu Bali wanaangalia ushindi wa magoli.
Hizo takwimu za umiliki za Simba usifikirie kuziona Cairo maana mametumia nguvu nyingi Sana lakn wamepigwa kwahy automatically miili imechoka na watawenda Cairo kukamilisha ratiba tu.
Kashazungumzia Quality, sasa ndani ya wiki 1 unapata wapi wachezaji wenye QUALITY ya kuwazidi al ahly?Upo sahihi mkuu
Vipi unadhani nini kifanyike huko Misri ni rahisi kwa SIMBA kupindua Meza?