Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Wacheza walipaniki na papara nyingi. Kuna huyu Inonga jana alikuwa bure kabisa hata nafasi za kufungwa zilikuwa nyingi sana. Kosa la kocha kumuweka Mikson dakika 6 kabla ya mripa kuisha.Wadau wa Soka na wapenzi wa SIMBA poleni sana kwa kilichowapata jana.
Nimeona takwimu za Mchezo wa Jana SIMBA imeongoza sehemu kubwa lakini ikafungwa.
JE nini SABABU za SIMBA KUFUNGWA? Inawezekana ikawasaidia Mechi yao huko MISRI.
Ama kweli ukishabikia simba na yanga akili zinaruka,, unakua kama kichaa, unaongeza umaskini...Kolo kolo baby yaani kolo kolo eeeh!
Nasikiliza wimbo wa DIAMOND PLATNUMZ ft. PATORANKING - KOLO
Ok lakini si ndio hii hii timu ilipata goli mbili dhidi ya Al Ahly kwenye AFL na goli 2 kwa WydadSidhani kama jwaneng galaxy ni sample sahihi,Jwaneng hawana ubora kiasi kwamba wanaweza kupishana na simba,japo sio wabovu
Kwenye level kama hizi hasa mtoano,inatakiwa timu iwe imekamilika kila idara walau kwa 90% kitu ambacho kwa simba hakuna.
Naungana na wengine waliosema UTOFAUTI WA UBORA BAINA HIZI TIMU MBILI NDIO ULIOAMUA MATOKEO.
Simba wanasema "jana ni Good Friday hairuhusiwi kula nyama. Ndio maana simba kawaacha tuu".Wadau wa Soka na wapenzi wa SIMBA poleni sana kwa kilichowapata jana.
Nimeona takwimu za Mchezo wa Jana SIMBA imeongoza sehemu kubwa lakini ikafungwa.
JE nini SABABU za SIMBA KUFUNGWA? Inawezekana ikawasaidia Mechi yao huko MISRI.
WAPENDWA ITOSHE TU KUSEMA MIMBA IMEGOMA KUTOKA NA MWENDO TUMEUMALIZA[emoji3][emoji3]Simba wanasema "jana ni Good Friday hairuhusiwi kula nyama. Ndio maana simba kawaacha tuu".
Kabisa. Yaani hawa mabumunda yaligeuka kuwa masemaji ya Mamelod. Kipigo ni halali yao.Mdomo kaka,hawa makolo walishadadia mambo ya mamelodi kuliko kujiandaa kuukabili mchezo wao na al ahly,kingine hizi mechi za mtoano watu timu haziangalii takwimu Bali wanaangalia ushindi wa magoli.
Hizo takwimu za umiliki za Simba usifikirie kuziona Cairo maana mametumia nguvu nyingi Sana lakn wamepigwa kwahy automatically miili imechoka na watawenda Cairo kukamilisha ratiba tu.
Tia maji tia maji tu,hamna timu paleOk lakini si ndio hii hii timu ilipata goli mbili dhidi ya Al Ahly kwenye AFL na goli 2 kwa Wydad
Sahihi kabisa. Ndio mpira wa Al Ahly huu. Na ndicho walichofanya jana kuanza kwa nguvu walivyopata bao tu wakawaachia Simba mpira wao waruke ruke nao. Wenyewe walihitaji walau sare ya goal tu jana. Lakini wakafika mwisho Simba hawajaonja hata la kuoteaAhly hawako vizuri ila ubovu wao si uzuri wa Simba, Ahly na mpango mkakati wao ndio ume amua mechi.
Ahly kama wangekua hawajapata goli wangewalazimisha Simba kwa namna wanavyo taka mpaka wangepata goli.
Kwakua walishapata goli waka amua wakabie kuanzia kati apo ndipo Simba walionekana wakishambulia kwa muda mwingi.
Angalia Dk 15 za mwisho, Ahly wakaingiza watu wakae na mpira waimalize mechi na wakafanikiwa.
Mechi ya Cairo, Ahly wata anza kushambulia kwa kasi kubwa na ndani ya dk 15 wakipata goli watarudi na kucheza kama Dar, wakikosa goli wataendelea kushambulia mpaka wapate goli baada ya goli wata waacha simba wacheze.
Dk 15 za mwisho watakaa na mpira na kumaliza gemu.
Simba ili wafanikiwe kupunguza shida mechi ijayo pale mbele waanze na vijana wenye kasi hasa pembeni vijana watakao weza kukimbia kushambulia na kurudi kusaidia kwenye kiungo na beki za pembeni
Washambulie kwa kushtukiza yaani pasi zisizidi tatu kutokea kwenye transition wanaweza pata kitu kwakua muda mwingi eneo lao la kuzuia litakua na namba kubwa.
Rudia tena kusoma taratibu utaelewa nilichoandika dingii.Ama kweli ukishabikia simba na yanga akili zinaruka,, unakua kama kichaa, unaongeza umaskini...