Japhet Karibu
Member
- Feb 27, 2020
- 79
- 129
Anachouliza mleta uzi na unachojibu hakuna uhusiano.Zitto alipaswa kugungwa naona mahakimu wanacheza naye tu
Wewe ndiyo msemaji wa hao watz au?Hata akigombea hakuna Mtanzania atampigia kura
Hapo mwenzio mkono ushaenda kinywani.Anachouliza mleta uzi na unachojibu hakuna uhusiano.
Mtz ambaye hatampigia kura ni wewe,Hata akigombea hakuna Mtanzania atampigia kura
Mtz ambaye hatampigia kura ni wewe,
Bia asili yake ni kilevi, huyu akili yake daily imelewa, anavamia kila topic bila kupima ukubwa wa topic husika.Watanzania wote hawamtaki
Duuuh mleta mada hayo ajataka kujuaZitto alipaswa kugungwa naona mahakimu wanacheza naye tu
Hata mke wake hamtaki?Watanzania wote hawamtaki
Sasa hivi kuna ile sharia ya huyu mupe yure muruke...Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Je, uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu, ndugu Zitto sheria za uchaguzi zinamruhusu kugombea nafasi yoyote, mfano nafasi ya ubunge nk?