Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiki kijiwe Kiko mtaa gani? Nataka nikamwambie huyo muuzaji kitimoto ni haramu.Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
View attachment 3242030
Inajikaanga yenywewe kama Waafrika wanavyojikaanga kwa mafuta yao wenyewe.Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
View attachment 3242030
Akili hunaMkuu hiki kijiwe Kiko mtaa gani? Nataka nikamwambie huyo muuzaji kitimoto ni haramu.
Kama ingekuwa halali bado ungemtafuta?Mkuu hiki kijiwe Kiko mtaa gani? Nataka nikamwambie huyo muuzaji kitimoto ni haramu.
Hiyo ni zaidi hata ya nyoka.Mnakula huo upuuzi 🤮🤢
Mkuu acha masihara basi, Ramadan karibu inaanza. Utaharibu funga.Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
View attachment 3242030