Hua pale mwanzo kabisa wa biashara ananunua dukni ila kadri siku ziendavuo anapunguza kwenye karai maana kila akikaanga yanaongezeka yenyeweHii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
View attachment 3242030
Jamani mpeni location ustaadh, umeeleweka ndiyo maana hatuiti nguruwe tunafichaficha ili sote tushiriki hii katoliki.Mkuu hiki kijiwe Kiko mtaa gani? Nataka nikamwambie huyo muuzaji kitimoto ni haramu.
Hiyo inafuta lake leyewe aisee 😋😋😋😋Hii nyama huwa ina mafuta sana.
Hivi wakaanga kitimoto cha biashara huwa wana uhitaji wa kununua mafuta ya kukaangia au mafuta ya kitimoto chenyewe yanatosha kukaangia?
View attachment 3242030
Nimeshaipiga na pepsi hapaNiko hapa ndio naisubiria ya kukaanga niipige nikalale.
Acha tuendelee kula nyama tamu. Wachawi wataendelea sana kuponda ila kelele zao ni sawa na kilio cha samaki, machozi yanaenda na maji.Nimeshaipiga na pepsi hapa
Ukifika kijiwe hicho na kuongea naye ni sawa na umekula.Mkuu hiki kijiwe Kiko mtaa gani? Nataka nikamwambie huyo muuzaji kitimoto ni haramu.