Wakaka nipeni jeans zenu....

ewaaala ewaaala....nahisi ntakua na usiku mwanana....hakika...kabla sijasahu ntakupatia buuuure zoote ...natangulia PM
[emoji23] usiku mwanana kisa nimeomba jeans au
 
Hapana,Inakuja na gari isubiri makumbusho ila hujatuambia hayo mautundu yamekaaje.
 
Unaweza ukapiga pesa kama upo seriously,huo mtoko unavaliwa kwenye mazingira gan maana umekaa kiutata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…